Lissu kama unawaita wenzako MAPOLISI badala ya Polisi usitegemee wakuheshimu

Huna hoja aibu yako hii
 
Lissu anapewa uhuru na nafasi kubwa ya kuongea na ndipo anapomalizwa kisiasa.

Anapoongea kwa muda mrefu anachokwa na wasikilizaji, huo ni ujanja wa kisiasa wa hali ya juu.

Udhaifu wake wote anauanika wakati wa mahojiano mengi anayofanya na vyombo vya habari. Siasa ni kuona mbali.

SSH anakubaliana na uhuru wa Lissu na wa kisiasa kwa ujumla akitekeleza maagizo ya wakubwa lakini pia ni mbinu ya kummaliza muongeaji kwa kumpa uhuru mpana.
 
Matendo yao ya kinyama, kifedhuli ndio picha wanayojitambulisha nayo. Lissue mwacheni aseme chochote masahibu mliomfanyia labda akisema machungu yatampungua na wala hastahili kutegemea chochote kutoka kwao kama wamemminia marisasi zaidi ya 15 manake Muumba tu ndio anamlinda
 
Maaskari je, nalo ni dharau?
Maaskofu, mashemasi, mapadre, masista, mabinti, masheikh, makuhani, mawakala, etc.
Vitu vingine havina wingi Mkuu. Kwa mfano PUA, CHUPI, KONDOMU, KENGE, TEMBO, FISI, NGURUWE, KENDE, SHOGA na UCHI
 
Jibu mujarab!
  • Maaskari je, nalo ni dharau?
    Maaskofu, mashemasi, mapadre, masista, mabinti, masheikh, makuhani, mawakala, etc.
Vitu vingine havina wingi Mkuu. Kwa mfano PUA, CHUPI, KONDOMU, KENGE, TEMBO, FISI, NGURUWE, KENDE, SHOGA na UCHI
 
Polisi wenyewe hawajalalamika ACHA VIHEREHERE
 
Lissu hana haja ya kuheshimiwa na Mapaka.
Your browser is not able to display this video.
 

Hata angewaita manabii, polisi wetu hawana utamaduni wa kuheshimu wapinzani. Wao huheshimu tu chama kilichoko madarakani, kwani ndio chenye viongozi wanaoweza kuwapa vyeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…