Lissu kashindikana na mafisadi Asiamini hata watu ndani ya Chadema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda kwa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga.

Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
 
Mimi team Magu Ila anamkubali sana Lissu sjiui kwa nini Lissu walimgombanisha na Magu nakumbuka Magufuli akiwa Rais mwanzoni dadake Lissu alifariki Magufuli alienda kwenye msiba wa dada ake Lissu mpaka ibada kanisani Magufuli alikuepo ghafla wanamtandao wakawagombanisha kombiesheni ya Magu na Lissu
 
Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda wa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga.

Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.

Mfano mimi, kwenye barbecues nikila kuku, ng'ombe mbuzi, yule jamaa na samaki, tumboni ni vita!.

Nikila food plata ya chungwa, embe , ndizi papai, tikiti na parachichi tumboni ni vita!.

Lissu analindwa na YEYE PEKEE, no one can touch him!. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

P
 
Mimi team Magu Ila anamkubali sana Lissu sjiui kwa nini Lissu walimgombanisha na Magu nakumbuka Magufuli akiwa Rais mwanzoni dadake Lissu alifariki Magufuli alienda kwenye msiba wa dada ake Lissu mpaka ibada kanisani Magufuli alikuepo ghafla wanamtandao wakawagombanisha kombiesheni ya Magu na Lissu
Unajaribu kulisafisha hilo shetani lenu la Chato.
 
Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.

Mfano mimi, kwenye barbecues nikila kuku, ng'ombe mbuzi, yule jamaa na samaki, tumboni ni vita!.

Nikila food plata ya chungwa, embe , ndizi papai, tikiti na parachichi tumboni ni vita!.

Lissu analindwa na YEYE PEKEE, no one can touch him!.

P
Umesahau ya Mzee Mangula na Hayati JPM anything can hapen in Tanzania's politics.
 
Mimi team Magu Ila anamkubali sana Lissu sjiui kwa nini Lissu walimgombanisha na Magu nakumbuka Magufuli akiwa Rais mwanzoni dadake Lissu alifariki Magufuli alienda kwenye msiba wa dada ake Lissu mpaka ibada kanisani Magufuli alikuepo ghafla wanamtandao wakawagombanisha kombiesheni ya Magu na Lissu
Magu alikuwa anaua vitoyo kina Ben Saanane, Masokini kina Kanguye na Azory Gwanda.

Mafisafi kina Rostam Aziz, Kikwete, Lugumi, Angela Kizigha, na Singa Singa aliishia kuyabwekea tu.

Yakapitia kwa Bashite akampa SUMU.
 
Magufuli alikua muoga kwenye kuwanyoosha hawa wezi wa Mali za Umma
 
Lazima watafanya attempt akishatoka , wangeweza kumuua akiwa gerezani lakini lazima wangenyooshewa vidole kwani alikuwa kwenye himaya yao lakini akiwa nje watajaribu kwani sasa hivi wamegundua kuwa kitendo cha kumuweka kizuizini muda wote huu kimempandisha chati sana kama pia kitendo cha kuifungia Chadema kimepandisha chati maradufu, wenyewe wanaona nyomi inayoitika kwenye mikutano yao. Aliyewashauri kumkamata na kumuweka kizuizini Lissu amewaingiza chaka sana.
 
Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.

Mfano mimi, kwenye barbecues nikila kuku, ng'ombe mbuzi, yule jamaa na samaki, tumboni ni vita!.

Nikila food plata ya chungwa, embe , ndizi papai, tikiti na parachichi tumboni ni vita!.

Lissu analindwa na YEYE PEKEE, no one can touch him!. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

P

Naongelea future sio past. Kuna watu wana mpango huo na sio wa juu serikalini ni hawa machawa machawa tu kwa kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom