Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda wa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga.
Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
Unajaribu kulisafisha hilo shetani lenu la Chato.Mimi team Magu Ila anamkubali sana Lissu sjiui kwa nini Lissu walimgombanisha na Magu nakumbuka Magufuli akiwa Rais mwanzoni dadake Lissu alifariki Magufuli alienda kwenye msiba wa dada ake Lissu mpaka ibada kanisani Magufuli alikuepo ghafla wanamtandao wakawagombanisha kombiesheni ya Magu na Lissu
Unajaribu kulisafisha hilo shetani lenu la Chato.Mlijitahidi kumchafua Magufuli lakini wapi?
Umesahau ya Mzee Mangula na Hayati JPM anything can hapen in Tanzania's politics.Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.
Mfano mimi, kwenye barbecues nikila kuku, ng'ombe mbuzi, yule jamaa na samaki, tumboni ni vita!.
Nikila food plata ya chungwa, embe , ndizi papai, tikiti na parachichi tumboni ni vita!.
Lissu analindwa na YEYE PEKEE, no one can touch him!.
P
Magu alikuwa anaua vitoyo kina Ben Saanane, Masokini kina Kanguye na Azory Gwanda.Mimi team Magu Ila anamkubali sana Lissu sjiui kwa nini Lissu walimgombanisha na Magu nakumbuka Magufuli akiwa Rais mwanzoni dadake Lissu alifariki Magufuli alienda kwenye msiba wa dada ake Lissu mpaka ibada kanisani Magufuli alikuepo ghafla wanamtandao wakawagombanisha kombiesheni ya Magu na Lissu
Sijasahau toka enzi za Kolimba, Lissu ni anointed hivyo ana the Devine protection kama niliyoshauri hapa Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!Umesahau ya Mzee Mangula na Hayati JPM anything can hapen in Tanzania's politics.
Magufuli alikua muoga kwenye kuwanyoosha hawa wezi wa Mali za UmmaMagu alikuwa anaua vitoyo kina Ben Saanane, Masokini kina Kanguye na Azory Gwanda.
Mafisafi kina Rostam Aziz, Kikwete, Lugumi, Angela Kizigha, na Singa Singa aliishia kuyabwekea tu.
Yakapitia kwa Bashite akampa SUMU.
Kupitia jicho la tatu, hakuna mtu anataka kumuua Lissu, siamini kabisa kama alilishwa sumu but ni food poisoning, it happens very often mtu unakula vyakula fulani, kisha hivyo vyakula vikikutana tumboni, vinakorogana na kutengeneza sumu.
Mfano mimi, kwenye barbecues nikila kuku, ng'ombe mbuzi, yule jamaa na samaki, tumboni ni vita!.
Nikila food plata ya chungwa, embe , ndizi papai, tikiti na parachichi tumboni ni vita!.
Lissu analindwa na YEYE PEKEE, no one can touch him!. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P