Lissu kashindwa mapema?

Lissu kashindwa mapema?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
 
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo
Akili duni kama wewe nzi wa kijani huwezi kumwelewa Lisu. Sio size yako
 
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo
 
Attachments

  • 20250124_000500.jpg
    20250124_000500.jpg
    139.1 KB · Views: 4
Ukiwa nje ya uongozi unaona walio ndani wajinga, haya sasa, ameshaanza kurudi nyuma.
 
Una point, ila una haraka, hata week 2 hazijaishakwa hiyo huwezi Mpimbo mtu hivyo
 
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
Wewe si ulisema Lissu akishinda na kuwa Mwenyekiti Chadema utaondoka JF mazima, sasa imekuwaje tena maana unakesha na kushinda humu ukiandika uongo, uzushi, fitna, chuki na propaganda lukuki dhidi ya huyo Lissu?!!!

Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
Huyo ndiyo Lissu wa kweli. Atashindwa mpaka waliomchagua washangae. Heri alipokuwa kama Sa100 ambaye hakuchaguliwa zaidi ya kutengenezwa na mwenda zake.
 
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
Hayo yalikua maamuzi ya Chama chini ya mwenyekiti Mbowe .
Wanachama wakaona kuwa anayeweza kuyasimamia ni mtu Mwadilifu asiyehongeka .
Mtu asiyehongeka ni hatari sana maana ni chaguo la Mungu na hakuna kiumbe chochote kinachoweza kushindana na Mungu .

Mungu anaweza akaipiga ile ikulu ya Kongo kwa Kimbunga kimoja tena siku wakiwa kwenye kikao na dola yote na historia ikaishia hapo .

Tanzania imejengwa katika historia ya uadilifu na kujali sana wanyonge na kuwatendea haki .
Hata wakati wa chama kimoja hapakuwa na Wizi wa kura .

Tambueni hivi CCM imetoa wapi huu mfumo wake wa kishetani wa uchaguzi wa kupora masanduku ya kura hata ndani ya Chama .

CCM ilikua inapiga kura ya wazi kati ya wabunge wawili au madiwani wa wa wali kwa wazi kabisa .

Na hata Mwalimu alipongatuka palikua na harakati za wazi na makundi yalikuwepo ya nani ya kuongoza chama na serikali . Watu walichukua Form lakini leo hakuna hata kuchukua formu .
Samia hakuwahi kuomba kuchaguliwa na chama kugombea urais leo anapitaje bila kupingwa ?

Ni wazi kuwa kama CCM inaogopa kura ndani ya Chama na kumpitisha Samia bila kupingwa haitawezekana kamwe kufanya uchaguzi wa huru na haki dhidi ya wapinzani nje ya CCM .

Kilichofanyika Dodoma ndicho kitakachofanyika uchaguzi ujao .Dr.Samia atapitishwa yeye pamoja na wabunge wa chama chake bila kupingwa .
Miaka yote ndani ya chama cha mapinduzi hua moto unawake wakati wa uchaguzi lakini leo tunaona analazimishiwa mtu asiye na uwezo ni kwa sababu wanategemea nguvu ya vyombo vya dola .

Kwenye uchaguzi huru na haki Samia hawezi hata kushindana na Abdul NONDO hapa Tanganyika hata Zanzibar maana kule kanuni yao Mwanamke hawezi na haruhusiwi kamwe kuwa Rais . Ni huku Tanganyika pekee ndio tunawekewa kiongozi dhaifu kuliko wa Zanzibar .

Mainland haiwezi kuwa na kiongozi mwenye uwezo mdogo kuliko Kisiwa cha Zanzibar halafu wote wanatoka Sehemu Moja .
Rais ambaye hata historia yake haiwekwi wazo .Yaani Wazazi wake , makuzi yake ,hobe yake tabia yake tangu shule ya msingi n.k. Je , amewahi kuishi na kuzoea jamii yenye mchanganyiko wa makabila,rangi na dini tofauti na ya kwake .?
Amekulia kwenye jamii inayoamini katika kuongozwa kwa demokrasia na yenye haki sawa ?

Bila shaka Sifa ya CCM kushika dola imekwisha maana imeacha watu wenye sifa nzuri na kubwa ikatuletea mtu dhaifu kabisa .Je, Ni ili Dakawa Jiweke alinde Rasilimali zake na Zanzibar ivune jasho la Watanganyika kirahisi na kulinda himaya ya wazungu na Waarabu Kule Loliondo .?

Uchaguzi ndani ya CCM ni kipimo tosha cha uchaguzi ujao wenye Tume ya mfukoni kwa mtu.

.Ifikie mahali TUME YA UCHAGUZI isimamiwe na VIONGOZI WA DINI maana nchi yetu inatumia Vitabu vya dini kuwaaoisha viongozi wake baada ya uchaguzi .
Hii iwe ni tume huru na sio tume ya majaji wanaoshibishwa na mgombea mmoja kutoka chama kimoja ambaye amepandishwa na chama hicho hicho na serikali yake mara nyingine kikada na kirafiki.

Nchi inahitaji watu wa kutenda haki na sio kuangalia maslahi ya familia mbili au tatu kwa mgongo wa watoto wa maskini ndani ya majeshi . Leo wanao umia kule Kongo ni Watoto wa maskini wakioajirida jeshini lakini wakubwa watoto wao wanakula Bata tu wakati maamuzi ya watawala ndiyo ya hovyo na ya kibinafsi .

Ni bora kabisa Jeshi la Wananchi wa Tanzania linajiweka mbali na siasa maana wanasiasa ni wabinafsi sana . Polisi ndio bado wanaangalia maslahi yao hasa wakubwa wanaopata vyeo vya kuwa marapc maOCD na moccid na ma RCO na marto . Hivyo vyeo ni kama teuzi fulani hivi ndio maana wanakisahau wakidhani kuwa kikija chama kingine labda havitakuwepo kumbe hizo nafasi zipo tu hata pakiwa na uhuru na demokrasi ya kweli tena vitawafanya askari wetu watulie na kufurahia kazi yao bila mihemko na maelekezo ya wanasiasa wenye hofu ya kukataliwa na wananchi kulingana na matendo yao ya ufisadi.
 
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
Wewe ni mwanamke "Bawacha"?
 
Hakika Lissu anakulaza na viatu.
Hata yule "ntume" wako naona siku hizi humuongelei tena ila ni Lissu, Lissu, Lissu!!
 
It is much easier to be critical than to be correct
 
Back
Top Bottom