Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there Outcome✅✅View attachment 2744903
Huyu jamaa anatafta wamsweke tena jini la kizungu akimbilie ulaya tena. Ina mana uchungu huu Tanzania anao yeye tu?
 
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?

Lissu si ndiye huyu?

View attachment 2744876

Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.

Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
CCM iondoke!
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there Outcome✅✅View attachment 2744903
Haya ndiyo matokeo ya kusomea shule za kata..!!

Unawaza ujinga na upumbavu sawasawa tu na ulivyokaririshwa kwenye shule hizo na kuuweka ujinga huo kwenye maandishi kama haya uliyoandika hapo☝️☝️☝️ !!

Ni halali kabisa kukuita mpumbavu kwa sababu unastahili kuitwa hivyo..!

Labda unaweza kuwa akili iwapo utajibu swali hili kiu- sahihi;

Kwamba, lipi jema? Utumie rasrimali fedha zako kidogo ulizonazo kwa kuwekeza kwenye majengo unayoyaita "ofisi" au utumie hiyo fedha uwekeze kuwapatia UFAHAMU na MAARIFA wananchi wasio na elimu ya uraia ili wajikomboe kutoka kwenye fikra za kitumwa walizoachiwa na CCM miaka yote hii?

Ushahidi wa hili, ni wewe na hiki ulichoandika hapa.!!
 
Back
Top Bottom