Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

Huyu jamaa anatafta wamsweke tena jini la kizungu akimbilie ulaya tena. Ina mana uchungu huu Tanzania anao yeye tu?
 
CCM iondoke!
 
Haya ndiyo matokeo ya kusomea shule za kata..!!

Unawaza ujinga na upumbavu sawasawa tu na ulivyokaririshwa kwenye shule hizo na kuuweka ujinga huo kwenye maandishi kama haya uliyoandika hapo☝️☝️☝️ !!

Ni halali kabisa kukuita mpumbavu kwa sababu unastahili kuitwa hivyo..!

Labda unaweza kuwa akili iwapo utajibu swali hili kiu- sahihi;

Kwamba, lipi jema? Utumie rasrimali fedha zako kidogo ulizonazo kwa kuwekeza kwenye majengo unayoyaita "ofisi" au utumie hiyo fedha uwekeze kuwapatia UFAHAMU na MAARIFA wananchi wasio na elimu ya uraia ili wajikomboe kutoka kwenye fikra za kitumwa walizoachiwa na CCM miaka yote hii?

Ushahidi wa hili, ni wewe na hiki ulichoandika hapa.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…