Lissu: Kikosi Kazi alichounda Rais kimem ‘expose’ Zitto yuko upande gani

EeeenHeeee Heee!

Hapa unajisikia umetoa bonge la hoja; kumbe hakuna kitu ila muunganisho wa maneno tu yasiyoleta maana yoyote.

Hebu rudi nyuma ujisomee mwenyewe uliyoandika, kama utaelewa ulichoandika.
 
Zitto ni mnafiki na mchumia tumbo kama Wewe tu.
Hana u smart wowote!
Sawa mnafiki, kwahiyo?!!!! Mvue uraia basi nafasi yake uchukue wewe!

Kwangu mimi wanafiki ni wale wanaoiona dhahiri lakini wanajifanya hawaioni. Kwa sasa wanafiki wanajulikana.....walianza kujulikana tangu 2015.

Na sifa moja kuu ya wanafiki ni kukosa busara na mwishowe kujikuta wanajificha hadi kwenye mkaranga,......kwa sasa ni punguan8 pekee asiyetambua kuwa cdm ndo wanafiki nambari moja.

Wanajaribu kumshambulia zitto kila leo ili waufichie humo unafiki wao lakini ni dhahiri Mungu anawakataa.
 
EeeenHeeee Heee!

Hapa unajisikia umetoa bonge la hoja; kumbe hakuna kitu ila muunganisho wa maneno tu yasiyoleta maana yoyote.

Hebu rudi nyuma ujisomee mwenyewe uliyoandika, kama utaelewa ulichoandika.
🤣🤣🤣🤣

Chadema bwana, kuna wakati najiuliza kwani wako salama hawa watu au mbowe kawafanya nini hawa?!!!!
 
Siku mbowe ametoka tu kisutu na kukimbia haraka kwa Samia naamini Lissu alivumilia tu kwani kwa tabia zake kwavyovyote alikereka.Au huenda alimfuata inbox kulalamika.
Inawezekana kwa sasa Lissu ni miongoni mwa wanasiasa wanaoongoza kwa kukerekakereka tz.
 
Inawezekana ikawa hiyo miaka 60 tusiwe na uelewa kweli kwani hayo ni majaribu
 
Ukombozi wa kifikra ndo unao pelekea kudai katiba mpya.

Kutodai ni ishara ya kukosa huo ukombozi.
 
Zitto tumewahi kusema mara nyingi humu sio mtu wa upinzani hata kdg!
NI ndumi la kuwili, mtu wa maslahi binafsi na mpenda majungu na ufitini.
Kwake yeye fedha ni kipau mbele kwani ni mtu wa kujirusha na anasa hivyo asiaminiwe hata kwa 3%
 
Kwani jamani CHADEMA si walikaa kwenda kwenye mkutano?sasa mbona wanahangaika sana na yatokanayo na mkutano huo. Halafu mbona sijaskia TCD bali baraza la vyama, baraza la vyama sio sawa na TCD tujifunze kabla ya kukosoa. Nawashangaa sana CHADEMA kutaka Zitto awaze na afanya kama wanavyotaka wao Zitto ana chama chake na ana namna yake ya kuendesha mambo yake. Sasa CHADEMA wao wajikite kwenye kusimamia sera zao na kuhakikisha wanatafuta katiba mpya waachane na ammbo za kutaka kila chama kifate msimamo wao, wao waweke sera na harakati zao raia wataamua nani wa kumuunga mkono.
 
Kwani TCD ni mali ya ACT na Zitto hadi iachwe ifanye inavyotaka, Chadema bado wana maslahi na TCD hata kama hawatashiriki mkutano. Sawa na wewe ulivyo na maslahi ya sheria zinazotungwa bungeni hata kama sio mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…