Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592

Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
 
Sina peni, wala kijitabu cha kuandikia hayo.
 
View attachment 2064639

Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
The speech was very comprehensive and compulsory
 
Kama sio mshabiki na mfuata mkumbo utaona hii mnayoita hotuba ni ya kichochezi na inahitaji kupuuzwa.
Anatafuta uungwaji mkono na watu waliovunja sheria za nchi ili nini, huyujamaa nimtu hatarisana kwenye hili taifa.
Yani nikama amewahutubia wahalifu na walewanao tuhumu serikali.

Walio chomewa nyavu:
Hao wengi wao walikuwa ni wavuvi haramu ambao walikiuka sheria walizo pangiwa kwa kuvua samaki wadogo n.k

Wafugaji:
Hao pia wanasheria zinazo waongoza kuchunga katika maeneo ambayo hayawezi kusababisha usumbufu kwa wanyama pori ama kwa wakulima, na sijamsikia kuwataja wakulima ambao mazaoyao yaliharibiwa na wafugaji.

Wamachinga:
Vitambulisho feki sijui anaongelea kitugani,wenyewe walikuwa wanafanya biashara kwa uhuru na hichohicho anachoita kitambulisho feki.

Hao wanao lalamika kuonewa kama akina mwingira nituhumatu ambazo wahusika wangetakiwa kupeleka taarifa zao sehemu husika ili uchunguzi ufanyike otherwise nikutafuta viishu vya kujazia nyama hotuba feki.

Hotuba hii ni feki na haina kichwa wala miguu.
 
Kama wewe ulivyo feki kufikiri
 
Back
Top Bottom