haikusaidia maana tumeisoma na kuitafakari sana tena sana, madini matupu!walifunga kupisha hotuba ya Lisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haikusaidia maana tumeisoma na kuitafakari sana tena sana, madini matupu!walifunga kupisha hotuba ya Lisu
Hujui hata kuandika
Talking of hotuba feki, vipi ile ya dola bilioni 6,000 na ushee! Punguza mahaba kijana.
Talking of hotuba feki, vipi ile ya dola bilioni 6,000 na ushee! Punguza mahaba kijana.
Kama wewe ulivyo feki kufikiri
Cha mtt hicho kimeingia vumilia tuuKama sio mshabiki na mfuata mkumbo utaona hii mnayoita hotuba ni ya kichochezi na inahitaji kupuuzwa.
Anatafuta uungwaji mkono na watu waliovunja sheria za nchi ili nini, huyujamaa nimtu hatarisana kwenye hili taifa.
Yani nikama amewahutubia wahalifu na walewanao tuhumu serikali.
Walio chomewa nyavu:
Hao wengi wao walikuwa ni wavuvi haramu ambao walikiuka sheria walizo pangiwa kwa kuvua samaki wadogo n.k
Wafugaji:
Hao pia wanasheria zinazo waongoza kuchunga katika maeneo ambayo hayawezi kusababisha usumbufu kwa wanyama pori ama kwa wakulima, na sijamsikia kuwataja wakulima ambao mazaoyao yaliharibiwa na wafugaji.
Wamachinga:
Vitambulisho feki sijui anaongelea kitugani,wenyewe walikuwa wanafanya biashara kwa uhuru na hichohicho anachoita kitambulisho feki.
Hao wanao lalamika kuonewa kama akina mwingira nituhumatu ambazo wahusika wangetakiwa kupeleka taarifa zao sehemu husika ili uchunguzi ufanyike otherwise nikutafuta viishu vya kujazia nyama hotuba feki.
Hotuba hii ni feki na haina kichwa wala miguu.