Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Kwa ujinga huu (kazi hii), malipo unayopata sio halali.
 
Hilo unalosema bado sijathibitisha hata hivyo kwenye siasa za Tanzania kuna Wanasiasa na Wanaharakati. Hawa watu wana malengo tofauti. Wanasiasa wanalenga Uongozi na fedha/utajiri lakini wanaharakati wako busy na haki na mapambano.
NB: Wanaharakati huishi maisha ya hatari sana.
 
Si tuliambiwa ni chama cha mkwe amemrithisha Mwenyekiti wa Muyaya
 
Utakufa wewe chadema ikiwa hai
 
Kipara tako hujaweka source
 
Ukiona Simba wanatamani Yanga ife ili ibaki inashindana na Azam tu, ujue imeshapoteza nguvu ya kushindana.
 
Ukiona Simba wanatamani Yanga ife ili ibaki inashindana na Azam tu, ujue imeshapoteza nguvu ya kushindana.
Alaa sio hawana changamoto za kuweza kuwaweka roho juu wanataka wapinzani wenye kashi kashi amsha amsha hao miaka nenda wamedumaa!
 
Ustawi na uhai was chadema unalindwa na Dola kuwa ilivyo!!

Unafikiri kwa huu uuzaji na wizi plus ufisadi bila uwepo was chadema Hali ingekua mbaya sana mkuu!!

Chadema ni mlinzi was ccm asiharibu sana kama inavoripotiwa!!
 
Hapana kisife Bali wajenge chama vizuri ili 2025 tuwachague washike Dola tumechoshwa na chama cha matapeli(CCM)
 
Ustawi na uhai was chadema unalindwa na Dola kuwa ilivyo!!

Unafikiri kwa huu uuzaji na wizi plus ufisadi bila uwepo was chadema Hali ingekua mbaya sana mkuu!!

Chadema ni mlinzi was ccm asiharibu sana kama inavoripotiwa!!
Chadema hivi sasa si mkosoaji tena na kuonyesha madhaifu ya serikali kwa vitendo Chadema wamekuwa nao ni kama kichaka cha wezi kwa kuutetea bila aibu!
 
Acha lissu afanye mambo yake,anaweza
 
Alaa sio hawana changamoto za kuweza kuwaweka roho juu wanataka wapinzani wenye kashi kashi amsha amsha hao miaka nenda wamedumaa!
Ccm haina uwezo wa kushindana tena kisiasa, chama kinachotegemea mbeleko ya vyombo vya Dola unashindana nacho vipi kisiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…