Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 364
- 468
Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.