Tetesi: Lissu kufukuzwa CHADEMA

Tetesi: Lissu kufukuzwa CHADEMA

Ndani ya CHADEMA hakuna mwenye Ubavu wa Kumgusa Lissu !

Madhara yake yatakuwa makubwa sana zaidi hata ya kuondoka kwa Slaa

Japo najua hizi ni porojo umeleta, Ila suala la msingi
Lissu Ana Hoja nzuri tu, Zijibiwe!

CCM na SERIKALI inakesha kwa mawazo kisa Lissu , sembuse CHADEMA ambayo hata Msigwa anaitetemesha?


Britanicca
Uzi ufungwe Kwa comment hii🙏
 
Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.

Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.

Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.

Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.

Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.

Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.

Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.

Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.

Anakaribishwa.
Wewe jamaa kati ya watu waleo laaniwa na Mungu ni wewe.Kati ya watu ambao watachomwa moto siku ya mwisho ni wewe.Kati ya Watanzania ambao ni wafugaji wa shetani ni wewe.Ulichokifanya na unachoendelea kukifanya katika ardhi hii ya Tanzania usipo tubu kwa Mungu aliye hai.Utalaaniwa wewe na watoto wako .Tubu leo damu za watu ulizo mwaga na dhuruma ulizofanya kisa UMALAYA WA KISIASA ,kisa NJAA
 
Ndani ya CHADEMA hakuna mwenye Ubavu wa Kumgusa Lissu !

Madhara yake yatakuwa makubwa sana zaidi hata ya kuondoka kwa Slaa

Japo najua hizi ni porojo umeleta, Ila suala la msingi
Lissu Ana Hoja nzuri tu, Zijibiwe!

CCM na SERIKALI inakesha kwa mawazo kisa Lissu , sembuse CHADEMA ambayo hata Msigwa anaitetemesha?


Britanicca
Narejea
 
Back
Top Bottom