rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwenye siasa usimwamini mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm Wana sera na itikadi inayoeleweka??Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Mnakuwa vichwa ngumu kuelewa. Hoja za fedha zipo kwenye nyaraka ambazo wasemaji wake ni Mwenyekiti na Katibu. Ila aliuliza, kama kuna matumizi mabaya ya fedha, mbona kila mwaka wana hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali?Lissu ananishangaza kila akihojiwa anachomekea mambo ya hela aulizwe katibu mkuu, kila mara jumba bovu anadondoshewa katibu mkuu.
Kuna cha ziada ambacho hatujui.
Ahahahahaha! Mbona umepaniki?Ludo ulichomfanyia Lwakatare hatujasahau, Mamluki duni sana wewe jamaa.
Nakuhakikishia kwamba tunaanza rasmi kufukua uchafu wako wote, hao wajinga wanaokushabikia hawakujui, umechokoza nyuki
Hivi hapa umeandika kitu gani eti......?Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
You are wrong on me The Palm Beach japo umetumia uhuru wako wa kikatiba kuniita chawa. Mimi siyo chawa wa anybody, I just stand on my convictions only.Hivi hapa umeandika kitu gani eti......?
Amekusanya fomu za Urais!!??
Hizo fomu za u Rais alizozikusanya ni za watu gani na kwenda wapi halafu ili iweje?
Au Tundu Lissu ndiye mpokea fomu za wagombea Urais huko Tume ya uchaguzi siku hizi? Na kalisema hili lini na wapi...?
Rafiki tafuta namna njema ya kuandika uongo. Huu ni uchuro na utoto uliopitiliza.....
Jifunze kwa chawa wenzio kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah ChoiceVariable Huihui2 Samiaagain2025 ambao kidogo hupangilia uongo wao kwa kutumia akili za kishetani na kuzimu kidogo.....
Lakini wewe, kwa hii statement iliyokosa logic inakupa sifa ya ujinga na upumbavu moja kwa moja kama tu ambavyo kila ulichoandika hapa ni utumbo mtupu usiosafishwa kwa maji safi.....!
Chawa ndio nini wewe nyumbuHivi hapa umeandika kitu gani eti......?

kua na heshima kidogo gentleman,Hivi hapa umeandika kitu gani eti......?
Amekusanya fomu za Urais!!??
Hizo fomu za u Rais alizozikusanya ni za watu gani na kwenda wapi halafu ili iweje?
Au Tundu Lissu ndiye mpokea fomu za wagombea Urais huko Tume ya uchaguzi siku hizi? Na kalisema hili lini na wapi...?
Rafiki tafuta namna njema ya kuandika uongo. Huu ni uchuro na utoto uliopitiliza.....
Jifunze kwa chawa wenzio kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah ChoiceVariable Huihui2 Samiaagain2025 ambao kidogo hupangilia uongo wao kwa kutumia akili za kishetani na kuzimu kidogo.....
Lakini wewe, kwa hii statement iliyokosa logic inakupa sifa ya ujinga na upumbavu moja kwa moja kama tu ambavyo kila ulichoandika hapa ni utumbo mtupu usiosafishwa kwa maji safi.....!

Acha ramli chonganishi.Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Mkuu britanicca vipi Makamu Mwenyekiti wa CCM anaenda kuwa nani?Ndani ya CHADEMA hakuna mwenye Ubavu wa Kumgusa Lissu !
Madhara yake yatakuwa makubwa sana zaidi hata ya kuondoka kwa Slaa
Japo najua hizi ni porojo umeleta, Ila suala la msingi
Lissu Ana Hoja nzuri tu, Zijibiwe!
CCM na SERIKALI inakesha kwa mawazo kisa Lissu , sembuse CHADEMA ambayo hata Msigwa anaitetemesha?
Britanicca