Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Ukisha pigwa dushe na baba kigani unaanza kumuwaza lissu tena
 
Nimekuambia hivi, bado humjui Tundu Lissu, hujaijua hulka yake..!

Na hili la ameanzia wapi na sasa yuko wapi siyo ishu hapa. Ila jua tu kuwa humfahamu Tundu Lissu na hiki ulioposti ni umbea wako tu..

Na mwisho nikakuambia hivi, kama kuna jambo lisilo sawa ndani ya CHADEMA na akahitaji kusema, hahitaji chawa wa CCM kusema kwa niaba yake..

Na kwa taarifa yako, huyu ndiye mgombea u - Rais wa CHADEMA 2025 maana hicho ndicho mnachokiogopa na msingependa iwe hivyo...!!

Poleni sana CCM. Your end is now, not tomorrow..!
 
Vipi umeshitukia nini kwani?

Yaani hata hujui ni kwanini nyie "chawa wa mama Samia" mpo..

Na bado mwishowe kwa sababu ya CHADEMA, mtaanzisha ndani ya CCM idara za "kunguni wa mama Samia" au "mapanya-buku wa Mama Samia.."

Hata hamjui kuwa bila CHADEMA msingekuwa na hizo ajira za uchawa mlizonazo sasa..

Tundu Lissu ndiye mgombea u - Rais wa CHADEMA 2025 maana hicho mnachokiogopa kukiona kinatokea..
 
Aah, ndivyo unavyojua siyo?

Kaa hapo hapo ili uje ujue kumbe hujui lolote...
 

Aanzishe chama kingine huru.

Tuta heshimu maamuzi yake maana Tina imani nae thabiti.
 
Mkuu mm nakukumbusha tuu umesahau kuweka no za sim
 
Kwma ningejua ni pumba hii wala singesoma mpaka mwisho
Mm huwa sisomi mabandiko yake tena zaid ya kusoma heading na mwisho wa content kama ameweka no ya sim au,na kama hajaweka no ya sim huwa namkumbusha aziandike
 
Angetulia afanye utafiti rasmi kisha aanzishe chama kipya.
 
CHADEMA INAENDA KUFA KIFO CHA MENDE MIGUU JUUUU
 
ccm haitolewi madarakani kwa makaratasi ya kura kwenye maboksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…