Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

CHADEMA INAENDA KUFA KIFO CHA MENDE MIGUU JUUUU
Utakufa wewe uiache Chadema inashaniri. Wengi wamitabiri hivyo matokeo yake wamekufa wao.Dikteta Magufuli alitumia mabilioni ya fedha na maguvu yote ya majeshi yaliyokuwa kwenye uwezo wake ili kuiua Chadema akashindwa hadi akaamua kufa mwenyewe. Mtasubiri sana.
 
Inakaribia miezi miwili sasa tangu umetoa habari hii lakini Lissu bado yuko Chadema na hana dalili za kuondoka.
 
ataenda chama gani, hakuna chama ataenda, ACT WAZALENDO hawezi kwenda, na ccm hawezi kwenda, vyama vile vingine visivyojulikana ni vya ccm, hawezi kwenda. atakuwa mwanasiasa asiye na chama?
 
ccm haitolewi madarakani kwa makaratasi ya kura kwenye maboksi
Sera na ajenda nzuri na zenye kugusa maisha ya watu na kuendana na mahitaji ya wakati imekuwa nguzo kuu ya CCM kuendelea kusalia madarakani kwa miaka yote .na itaendelea kusalia madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
 
we teja ukuje huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…