Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Halafu anahamia CCM.
CCM oyeeee!
 
Mlugaluga hapa umepuyanga sana. Hii hadithi yako wameshaisimulia wengi humu sijui ulikuwa wapi hadi leo ndiyo unaileta kama habari. Kama umeamini hii ndiyo kilipuzi cha kuilipua Chadema basi ufahamu wako uko chini sana.
 
Mimi ni CCM kindaki ndaki. Huko ndiko nitakushika mkono ephen na kukuvuta ili kipaji chako kikubwa na akili yako kubwa itumike kwa Taifa letu. Si unajuwa ni hasara sana kuacha akili kubwa aina yako zikabaki bila kutumiwa.
CCM ina wenyewe wale waliozaliwa mjin Mzizima wewe na walugaluga wenzako ni takataka tu kwa watoto wa mjini.
 
kwani leo ni siku ya wajinga?
 
Unafanya kazi zako vema ebu njoo hapa lumumba chumba na 5 uchukue buku 7 zako kijana
 

Kuwa chawa wa mama au CCM hakuna maana ya kuacha kuyaona mzauri yote ya Chadema kiasi cha kuota ramli chonganishi tu hata pasipo tija!
 
Hivi ni ugumu wa maisha au kukosa ajira?

Yaani umeamua kujitoa akili kisa njaa imekupanda kichwani?

Nakushauri rudi kijijini kwenu ukalime mihogo utaishi maisha mazuri Sana kuliko huu uchawa
 
Vipi ndugu uko poa ?
 
Lucas Mwashambwa analamba inyaa
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-29-07-56-10-583_com.android.chrome~2.jpg
    70.7 KB · Views: 5
Hivi Lissu na usomi wake anakubalije kuwa chini ya mamlaka ya Mzee Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…