Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Wewe ndio utahamia CDM
 
Umeandika meengi kuwa kayasema Lisu, lkn hujatuambiqa aliyasemea wapi yote hayo
 
Madhara ya kutumia choo ndotoni haya Sasa Leo umeamka na mavi matyakoni Vaa chupi Yako uondoke
 
Mimi ni CCM kindaki ndaki. Huko ndiko nitakushika mkono ephen na kukuvuta ili kipaji chako kikubwa na akili yako kubwa itumike kwa Taifa letu. Si unajuwa ni hasara sana kuacha akili kubwa aina yako zikabaki bila kutumiwa.
Mmeshaambiwa CCM lazima uzaliwe mjini dare salaam Sasa wewe msafa umezaliwa chimba unye uko wewe na CCM wapi na wapi
 
Bullshit
 
Lucas ukilala mchana huku ukiwa umevimbiwa kwa kula makande na kushushia maziwa ya mgando yaliyochachushwa sana ni lazima tu utaota ndoto kama hii. Pengine ungaliandika kuwa umepata tetesi hizi huko katika vijiwe vya Uswazi angalau kidogo hata ungeeleweka.
 
Chadema ni kichaka cha watu wachache wenye makubaliano yenye maslahi kwao.
Chama cha wenyewe.
So,Lissu kusepa ni sahihi kabisa kwa 100%
 
Nilichoandika Ndio ukweli wenyewe.Basi kaa kwa kutulia ushuhudie kitakachotokea kwa Lissu.
 
Umeandika Ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…