Pre GE2025 Lissu: Kulingana na hotuba ya Mbowe na body language inaonekana bado alikuwa na ndoto kuwa maridhiano hayajavunjika

Pre GE2025 Lissu: Kulingana na hotuba ya Mbowe na body language inaonekana bado alikuwa na ndoto kuwa maridhiano hayajavunjika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano.

Pia soma: Pre GE2025 - Mbowe: Wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea

Anasema alimwambia Samia haiwezekani kuingia kwenye maridhiano wakati viongozi wamefungwa na mikutano ya kisiasa imezuiwa.

Mbowe alivyotoka gerezani akaenda kuongea na Samia na kusema kuna maridhiano, chadema wakabaki na machaguo mawili ama wampasue Mbowe au wamstahi, waliamua kumstahi maana Mbowe hakuongea na yoyote uamuzi wake wa kwenda kuongea na Samia.

Lissu anasema mariadhiano yamefeli vibaya, maana hakuna chochote walichokubaliana kimefanyika.
 
Mbowe ni msaliti. Hakuna point ya dola kuchukuliwa akiwa mwenyekiti, Nilishtuka kupindi cha katiba mpya the day alivyotoka ikulu akawa mpole ghafla na couple weeks zilizopija mkude alivyo dhalilishwa na Polisi huku yeye amejikausha ndani ya gari kama hamjui.

Mbowe anachojali ni maslah yake na machawa wake.

Kwa ufupi Mbowe ni msaliti, mbinafsi na mlafi wa madaraka!

BIG NO TO MBOWE !!!
 
Hadi kufikia tarehe ya uchaguzi mwezi ujao, giza litakuwa limejitenga kabisa na nuru. Mambo ni mengi, muda ni mchache.
 
SAY NO TO CHADEMA FOR LIFE. CCM MBELE KWA MBELE. ACHA WAISOME NAMBA. CHADEMA ENDELEENI KUTUJAZIA MAGAZETI YETU.
 
1734989998705.png
 
Back
Top Bottom