Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Mara tuambiwe Nyerere aliyasema hayo akiwa nchini Kenya baada ya kuulizwa kama yeye na Tanzania walikuwa wamehusika kwenye mpango wa kuipindua serikali ya Moi mara leo hii wewe unadai aliyasema hayo kwa kuhusishwa na mpango wa kumpindua Mwinyi!SIKIA BUSARA ZA NYERERE
Mwandishi wa habari alimuuliza Nyerere kuwa kuna habari/tetesi kuwa unataka kuipindia serikali ya Rais Mwinyi. Wakataka comment zake/ afafanue kuwa anataka kuipindua serikali ya Rais Mwinyi. Nyerere alichukia kuulizwa ujinga kama huo. AKAMJIBU HIVI/AKAMUULIZA SWALI HUYO MWANDISHI HIVI
"UKIAMBIWA KUWA MIMI NDIYE BABA YAKO UTAENDA KUANDIKA FRONT PAGE HABARI HIYO?"
na mkutano ukaisha hapo hapo 😀