Nahis huna kizaz au huna watoto kwa hyo uwez jua mambo hayaTozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Jibu swali acha kubwabwaja wee matangaLissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Mkuu sio kila tozo inakusanywa na TRA, hata elfu 20 ya Machinga haikusanywi na TRA.Haha kwahiyo Lisu akafikiri akidanganya watu huko sumbawanga hatutajua.
Kwahiyo akawaambia TRA wanakusanya tozo za mimba??
Mkuu kuna dispensary moja, maeneo ya URAMBO/KALIUA, mama mjamzito hutozwa elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike ili umkomboe mwanao, hapo nibaada takulipia huduma zote, sasa unalipia nahiyo kama tozo Mtoto.Tozo kweli zipo siyo tu huko Tabora na sumbawanga,ipo hivi!!!unakuta mtu ni mjaa mzito anaattend clinic kituo cha afya Cha kawaida siku ya kujifungua anaenda moja kwa moja kujifungulia hospital ya mkoa ya rufaa bila hata referral card,hizi referral hospital zina utaratibu wake Kama hujaanzia hospital za kawaida ukaenda mija kwa moja ndio unakutana na hizo tozo lakini Kama utafata utaratibu hakuna malipo yoyote utakayo tozwa
Lipo hilo ,tena wanatoza elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike, hii nimeishuhudia KALIUA ,nimeuliza tu kama njia yakutoa taarifa uma ujue kuwa hili lipo.Lisemwalo lipo na Kama halipo laja ,watumishi wa afya hamwalipi vizuri wakati nyie mwapata mkitakacho ,then mwasema mmerudisha nidham kwa watumishi ,nasema Wenda haya ni madogo tunayosikia yawezekana yapo ya ajabu zaidi, mnawatesa Sana watumishi nao wanatafuta njia mbadala ya kufanya maisha yao yaende
sela ≠ seraLissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Wakati huo huo tumepewa tamko la kufyatuana, kumbe kufyatua ni 50,000 kwa mtoto.Kwanini CCM mnatoza watu tozo za mimba?
Anahamasisha hivyo ili Tozo zitakazopatikana kutokana na kuzaa zikajenga flyover!Sasa sianataka watu watekeleze ahadi yake yake yakufyatuana.Aondoe tozo kuwapa ushirikiano
Hapo ndipo waelewa tunamshangaa JIWE.Wakati huo huo tumepewa tamko la kufyatuana kwakua Rais amejenga shule na amechonga madawati.
Jifunze kuandika kabla huja mkosoa rais Lissu.Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Hakika mkuu, usikute tozo, vitambulisho vya machinga pesa zote zinazopatikana hazijulikani zinaenda wapi.Anahamasisha hivyo ili Tozo zitakazopatikana kutokana na kuzaa zikajenga flyover!
Ni kwelo kashafanya vyote bwana magu!Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Kweli????...Ni kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh. 50,000
Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa Tsh. 30,000
Mh, kumbe like neno FYATUEN ntawasomesha bure matokeo ndo haya.Mkuu kuna dispensary moja, maeneo ya URAMBO/KALIUA, mama mjamzito hutozwa elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike ili umkomboe mwanao, hapo nibaada takulipia huduma zote, sasa unalipia nahiyo kama tozo Mtoto.
Sio wajawazito tu , wanatoza kodi mpaka maiti wa mochwari! CCm hii ni hatari! Twende na Lissu tu utapeli huu tuukatae octoba 28!JPM anadai tozo mpaka kwa wamama wajawazito, kweli hatufai huyu jamaa.
Umempa kinachostahili wengine cjui kama familiar zao zikojeNi kwelo kashafanya vyote bwana magu!
Kaleta mpaka tozo ya uzazi, wizi wa matrilion ya hela, uuaji, utekaji, ubambikiaji kesi, Lissu hawezi fanya hivyo ni sahihi!