Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Haha kwahiyo Lisu akafikiri akidanganya watu huko sumbawanga hatutajua.

Kwahiyo akawaambia TRA wanakusanya tozo za mimba??
 
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Nahis huna kizaz au huna watoto kwa hyo uwez jua mambo haya

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Tozo kweli zipo siyo tu huko Tabora na sumbawanga,ipo hivi!!!unakuta mtu ni mjaa mzito anaattend clinic kituo cha afya Cha kawaida siku ya kujifungua anaenda moja kwa moja kujifungulia hospital ya mkoa ya rufaa bila hata referral card,hizi referral hospital zina utaratibu wake Kama hujaanzia hospital za kawaida ukaenda mija kwa moja ndio unakutana na hizo tozo lakini Kama utafata utaratibu hakuna malipo yoyote utakayo tozwa
 
Kwa hili labda ni huko tu ndo kuna tozo, maana wife alijifungua mwaka jana hospitali ya Nyamagana na gharama nlizotumia hazizidi 10,000/= ambayo ilitumika kununua beseni na mpira wa nylon.
 
Haha kwahiyo Lisu akafikiri akidanganya watu huko sumbawanga hatutajua.

Kwahiyo akawaambia TRA wanakusanya tozo za mimba??
Mkuu sio kila tozo inakusanywa na TRA, hata elfu 20 ya Machinga haikusanywi na TRA.
 
Tozo kweli zipo siyo tu huko Tabora na sumbawanga,ipo hivi!!!unakuta mtu ni mjaa mzito anaattend clinic kituo cha afya Cha kawaida siku ya kujifungua anaenda moja kwa moja kujifungulia hospital ya mkoa ya rufaa bila hata referral card,hizi referral hospital zina utaratibu wake Kama hujaanzia hospital za kawaida ukaenda mija kwa moja ndio unakutana na hizo tozo lakini Kama utafata utaratibu hakuna malipo yoyote utakayo tozwa
Mkuu kuna dispensary moja, maeneo ya URAMBO/KALIUA, mama mjamzito hutozwa elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike ili umkomboe mwanao, hapo nibaada takulipia huduma zote, sasa unalipia nahiyo kama tozo Mtoto.
 
Lisemwalo lipo na Kama halipo laja ,watumishi wa afya hamwalipi vizuri wakati nyie mwapata mkitakacho ,then mwasema mmerudisha nidham kwa watumishi ,nasema Wenda haya ni madogo tunayosikia yawezekana yapo ya ajabu zaidi, mnawatesa Sana watumishi nao wanatafuta njia mbadala ya kufanya maisha yao yaende
Lipo hilo ,tena wanatoza elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike, hii nimeishuhudia KALIUA ,nimeuliza tu kama njia yakutoa taarifa uma ujue kuwa hili lipo.
 
Anahamasisha hivyo ili Tozo zitakazopatikana kutokana na kuzaa zikajenga flyover!
Hakika mkuu, usikute tozo, vitambulisho vya machinga pesa zote zinazopatikana hazijulikani zinaenda wapi.
 
Mkuu kuna dispensary moja, maeneo ya URAMBO/KALIUA, mama mjamzito hutozwa elfu 50 kwa mtoto wakiume, na elfu 30 Mtoto wakike ili umkomboe mwanao, hapo nibaada takulipia huduma zote, sasa unalipia nahiyo kama tozo Mtoto.
Mh, kumbe like neno FYATUEN ntawasomesha bure matokeo ndo haya.

Naomba sasa wanaccm wenzangu tufyatue ghalama ni Kwa ajili ya wapinzani. Mwenyekiti wetu anataka kuufuta upinzani kwa njia hii. Anahitaji ccm damudamu.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

sijui nipo sawa.loading
 
Back
Top Bottom