Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Acha uongo kwa sasa kujifungua sio bure
 
Strange!! Huwa wanazingatia uchama au ni mwanamke yeyote anayejifungua anatozwa hiyo tozo?
 
Ni kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh. 50,000

Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa Tsh. 30,000
Kwa sababu zipi?
Kwamba wakiume ana nini na wa kike ana nini,?
Acheni uzushi ninyi
 
Enzi za JK mama.na mtoto walikua angles ambao walikua hawaguswi..

Sweden mama akijifungua ni bure na anapewa hadi nguo za mtoto (starter pack)
 
Kwa sababu zipi?
Kwamba wakiume ana nini na wa kike ana nini,?
Acheni uzushi ninyi
Sio uzushi huo ndio ukweli,wakiume elfu50, wakike elfu 30 hii niliiona KALIUA na URAMBO wakazi wamaeneo hayo wanaweza kuwa mashahidi.
 
Strange!! Huwa wanazingatia uchama au ni mwanamke yeyote anayejifungua anatozwa hiyo tozo?

Wana CCM wanadai hawatozwi, wengine wanadai wanatozwa itakua wenye kadi za ccm hili haliwahusu, waliosalia wote inawahusu.
 
Alisikika anasema "barabara ya lami kutoka Tunduma mpaka Sumbawanga wamejenga Wamarekani (msaada) ambao JPM anawaita mabeberu" akauliza hiyo ni akili au matope? bila shaka utakuwa na jibu walilojibu wananchi.
Ndio sera ya chadema hiyo??!
 
Huu uzi unawaacha vibaya watu wazima. Wababa fatilien clinic za wake zenu mjue mengi badala ya kuja kuumbuka humu kwa ushabiki.
 
Ndio sera ya chadema hiyo??!
Hapana sera ya CDM nikusema yule mwingine anasema hatokusanya kodi, yule mwingine anasema mnapenda BATA.eti nani aliwambia mnapenda bata nyie.
 
Huu uzi unawaacha vibaya watu wazima. Wababa fatilien clinic za wake zenu mjue mengi badala ya kuja kuumbuka humu kwa ushabiki.
Nimeshuhudia URAMBO na KALIUA waliojifungua wanatozwa tozo ya TZSH 50,000 kwa mtoto wakiume, na TZSH 30,000 kwa mtoto kike. Hizi ndio tozo zinazozungumziwa hapa.
 
Ndio sera ya chadema iyo comrade?
Hiyo nisera ya JPM akiwambja wananchi kuwa LISSU kasema hatokusany kodi, Membe anawambia eti watakula bata, Rugwe anasema eti atagawa ubwabwa huku kwake tu haumtoshi. Hayo aliyazungumza JPM ndio sera zake.
 
🤣 🤣 🤣 Mimi ningeshauri wapime kwa kilo!!!
Hii ni moja ya maneno uongo tu kusogeza muda kabla ya kuanza kusema ule uongo mkuu wa "tumeibiwa kura".
Kwa kampeni za aina hii chama tawala hata kikiweka mbuzi agombee atashida tu.
Ningeshangaa sana kumuona Uvccm anaongea point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…