Comrade mimi naulizia sera za chadema.Hiyo nisera ya JPM akiwambja wananchi kuwa LISSU kasema hatokusany kodi, Membe anawambia eti watakula bata, Rugwe anasema eti atagawa ubwabwa huku kwake tu haumtoshi. Hayo aliyazungumza JPM ndio sera zake.
haya maswali tuwaulize nyie UVCCM.Kwa sababu zipi?
Kwamba wakiume ana nini na wa kike ana nini,?
Acheni uzushi ninyi
Kama huna uhakika ulichokiandika lengo lako ni kupotosha au?Hahaha wewe umeisoma wap niwekeee io yako inayo Sema ivyo
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Amri ya Mwenyekiti wa CCM ni sheria.Kwa sheria ipi ya Afya?
wakupimwa MARINDA weweLissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Kuondoa tozo za hospitalini, kuondoa tozo za elfu ishirini kwa machinga, namama zetu wauza genge.Comrade mimi naulizia sera za chadema.
CCM wahuni kweli kwaiyo hapo mtoto wa kiume ana dhamani kuliko wa kiumeNi kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh. 50,000
Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa Tsh. 30,000
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hivyo na muweke huo muongozo hapa.haya maswali tuwaulize nyie UVCCM.
mnawatoza wazazi pesa kwa kosa gani hasa walilofanya baada ya kujifungua??
mbona wazazi wenu hawakutozwa pesa baada ya kuwazaa nyie ila mmekuwa wakubwa mmeuvaa ukatili namna hii?
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?
Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?
Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.
Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
URAMBO,KALIUA,KITETE TABORA hizo nibaadhi. Kuhusu muongozo ndio mtuletee nyie wana CCM au tunatapeliwa mkuu nahizo zahanat/hospital?.H
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hibyo na muweke huo muongozo hapa.
Hakika Magu keshafanya yote.Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
yes hakuna hiyo sheria ndiyo maana tunapiga kelele CCM mnawatoza wazazi pesa baada ya kujifungua kinyume na katiba ya nchi.H
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hibyo na muweke huo muongozo hapa.
mbaya zaidi Magufuli anasisitiza waTZ wafyatue watoto wengi kumbe nia yake ni kuvuna hizi tozo za Mimba kwa ajili ya kufanyia ufisadi wake kwenye Mradi batili wa Chato Intentional Airport.CCM wahuni kweli kwaiyo hapo mtoto wa kiume ana dhamani kuliko wa kiume
Nimeshuhudia URAMBO na KALIUA waliojifungua wanatozwa tozo ya TZSH 50,000 kwa mtoto wakiume, na TZSH 30,000 kwa mtoto kike. Hizi ndio tozo zinazozungumziwa hapa.
Wekeni muongozo ambao hizo hospitali zinatumia kutoza hivyo viwangoCCM wahuni kweli kwaiyo hapo mtoto wa kiume ana dhamani kuliko wa kiume
kwasababu unasema confidently kabisa kuwa Tozo ina maana kubwa hebu tusaidie ufafafanuzi hapa , na kwanini mtoto wa kiume analipia tozo kubwa zaidi kuliko mtoto wa kike?Hao uliowashuhudia ungewauliza kliniki ya kwanza waliandikiwa kujifungulia wapi. Tozo ina maana kubwa mkuu,Lissu angewafafanulia kwa undani zaidi
Naomba unifahamishe mkuu, pia kwa nini Tozo zitofautiane kwa mtoto wakike na kiume?. Naomba unipe Darasa kama hutojali mkuu.Hao uliowashuhudia ungewauliza kliniki ya kwanza waliandikiwa kujifungulia wapi. Tozo ina maana kubwa mkuu,Lissu angewafafanulia kwa undani zaidi
πππ ndio maana walitaka kumuua Tundu Lissu aisee maaana jamaa uwezo wake wa kufikiri ni mkubwa sana sana kupita maelezo!mbaya zaidi Magufuli anasisitiza waTZ wafyatue watoto wengi kumbe nia yake ni kuvuna hizi tozo za Mimba kwa ajili ya kufanyia ufisadi wake kwenye Mradi batili wa Chato Intentional Airport.
Muongozo utatolewa baada ya upembuzi yakinifuWekeni muongozo ambao hizo hospitali zinatumia kutoza hivyo viwango
Tofauti na hapo mnalishwa matango tu na Tundu wenu huyo,
Hadi lini mtakua mnalalamika kwa masuala ya kuambiwa?kwasababu unasema confidently kabisa kuwa Tozo ina maana kubwa hebu tusaidie ufafafanuzi hapa , na kwanini mtoto wa kiume analipia tozo kubwa zaidi kuliko mtoto wa kike?
Naomba unifahamishe mkuu, pia kwa nini Tozo zitofautiane kwa mtoto wakike na kiume?. Naomba unipe Darasa kama hutojali mkuu.