Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Hiyo nisera ya JPM akiwambja wananchi kuwa LISSU kasema hatokusany kodi, Membe anawambia eti watakula bata, Rugwe anasema eti atagawa ubwabwa huku kwake tu haumtoshi. Hayo aliyazungumza JPM ndio sera zake.
Comrade mimi naulizia sera za chadema.
 
Kwa sababu zipi?
Kwamba wakiume ana nini na wa kike ana nini,?
Acheni uzushi ninyi
haya maswali tuwaulize nyie UVCCM.

mnawatoza wazazi pesa kwa kosa gani hasa walilofanya baada ya kujifungua??

mbona wazazi wenu hawakutozwa pesa baada ya kuwazaa nyie ila mmekuwa wakubwa mmeuvaa ukatili namna hii?
 
Comrade mimi naulizia sera za chadema.
Kuondoa tozo za hospitalini, kuondoa tozo za elfu ishirini kwa machinga, namama zetu wauza genge.

Kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wanaostahili, hata waliosoma privete . Kushusha makato ya heslb mpaka 3%, kuruhusu wananchi wauze mazao yao seheme yenye bei nzuri, kurudisha fao lakujitoa, kuwalipa stahiki zao wastaafu kwa wakati kama wafanyavyo wabunge kulipwa kwa muda mara baada ya miak mitano.

Hizo nibaadhi ya sera za CDM. Lkn hapa simahala pake,hapa tunajadili tozo zahospitalini,wanazotozwa wajawazito kabla ama baada yakujifungia.
 
H
haya maswali tuwaulize nyie UVCCM.

mnawatoza wazazi pesa kwa kosa gani hasa walilofanya baada ya kujifungua??

mbona wazazi wenu hawakutozwa pesa baada ya kuwazaa nyie ila mmekuwa wakubwa mmeuvaa ukatili namna hii?
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hivyo na muweke huo muongozo hapa.
 
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.

Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?

Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?

Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.

Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.

Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.

Unsema hayo tu?

Hata kumuona Daktari katika hospitali zetu za umma bila kuwa na Tshs. 10,000 mgonjwa atafia kwenye mabench ya hospital/kituo cha afya/zahanati....!!

Nenda hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete, gharama za kujifungua Mtoto wa kiume ni Tshs. 50,000 na wa kike ni Tshs. 40,000....

Haieleweki kwanini haya mambo yanapingana na kauli za viongozi na sera ya "matibabu bure" ya CCM...

Hili ndilo CCM na serikali yao wanatakiwa watuambie, ni kwanini mambo yako hivi....!
 
H
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hibyo na muweke huo muongozo hapa.
URAMBO,KALIUA,KITETE TABORA hizo nibaadhi. Kuhusu muongozo ndio mtuletee nyie wana CCM au tunatapeliwa mkuu nahizo zahanat/hospital?.
 
Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Hakika Magu keshafanya yote.

.Kaongeza makato kule Loan Board kutoka 8% to 15%.

.Kaleta kikokoto kipya huko Kwny mafao kuumiza wastaafu.

.Halipi mafao ya wastaafu kwa wkt muafaka,mstaafu anaweza kukaa hata miaka mitatu hajawekewa pesa zake.

.Wananchi hawajawahi kukopwa Pamba/Korosho ila kwny awamu yake wamejionea hilo.

Hakika MAGU MITANO TEEEEEEEEEEEEEENA.
 
H
Akuna hiyo sheria labda nyie mliolileta mtwambie ni hospitali zipi zinafanya hibyo na muweke huo muongozo hapa.
yes hakuna hiyo sheria ndiyo maana tunapiga kelele CCM mnawatoza wazazi pesa baada ya kujifungua kinyume na katiba ya nchi.

Muda wa kutaja sijui hospitali gani muulize dada yako atakuambia.
 
Hao uliowashuhudia ungewauliza kliniki ya kwanza waliandikiwa kujifungulia wapi. Tozo ina maana kubwa mkuu,Lissu angewafafanulia kwa undani zaidi
Nimeshuhudia URAMBO na KALIUA waliojifungua wanatozwa tozo ya TZSH 50,000 kwa mtoto wakiume, na TZSH 30,000 kwa mtoto kike. Hizi ndio tozo zinazozungumziwa hapa.
 
CCM wahuni kweli kwaiyo hapo mtoto wa kiume ana dhamani kuliko wa kiume
Wekeni muongozo ambao hizo hospitali zinatumia kutoza hivyo viwango
Tofauti na hapo mnalishwa matango tu na Tundu wenu huyo,
 
Hao uliowashuhudia ungewauliza kliniki ya kwanza waliandikiwa kujifungulia wapi. Tozo ina maana kubwa mkuu,Lissu angewafafanulia kwa undani zaidi
kwasababu unasema confidently kabisa kuwa Tozo ina maana kubwa hebu tusaidie ufafafanuzi hapa , na kwanini mtoto wa kiume analipia tozo kubwa zaidi kuliko mtoto wa kike?
 
Hao uliowashuhudia ungewauliza kliniki ya kwanza waliandikiwa kujifungulia wapi. Tozo ina maana kubwa mkuu,Lissu angewafafanulia kwa undani zaidi
Naomba unifahamishe mkuu, pia kwa nini Tozo zitofautiane kwa mtoto wakike na kiume?. Naomba unipe Darasa kama hutojali mkuu.
 
mbaya zaidi Magufuli anasisitiza waTZ wafyatue watoto wengi kumbe nia yake ni kuvuna hizi tozo za Mimba kwa ajili ya kufanyia ufisadi wake kwenye Mradi batili wa Chato Intentional Airport.
😂😂😂 ndio maana walitaka kumuua Tundu Lissu aisee maaana jamaa uwezo wake wa kufikiri ni mkubwa sana sana kupita maelezo!
Magu ana pumulia mashine hakuna mwana CCM aliye juwa kama mambo yata kuwa mazito hivi
 
Wekeni muongozo ambao hizo hospitali zinatumia kutoza hivyo viwango
Tofauti na hapo mnalishwa matango tu na Tundu wenu huyo,
Muongozo utatolewa baada ya upembuzi yakinifu
 
Sijakumbana na hizo tozo ndo maana nawataka muingie field zaidi na mfahamu kwa undani badala ya kulalamika
kwasababu unasema confidently kabisa kuwa Tozo ina maana kubwa hebu tusaidie ufafafanuzi hapa , na kwanini mtoto wa kiume analipia tozo kubwa zaidi kuliko mtoto wa kike?
Hadi lini mtakua mnalalamika kwa masuala ya kuambiwa?
Naomba unifahamishe mkuu, pia kwa nini Tozo zitofautiane kwa mtoto wakike na kiume?. Naomba unipe Darasa kama hutojali mkuu.
 
Back
Top Bottom