Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sera
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Jibu nikweli au sikweli kama wewe unaneemeka jua wenzio wanaumiaLissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sera
Lissu anampelekesha jamaa wa chattle kama gari bovu. Hadi anatia huruma.Sikunawapumbavu walikata hamna tozo kwa wamama wajawazito.
Halafu kuna wajinga walisema Lissu nimuongo eti hizo tozo hazipo.Nahazitozwi kwa kuchelewa kliniki zinatozwa kwa kila mjamzito.Lissu anampelekesha jamaa wa chattle kama gari bovu. Hadi anatia huruma.
Hizi tozo zipo , kunawajinga wengi walisema hazipo, tatizo hawajawahi peleka wajawazito kujifungua.Leo mchattle kafuta tozo ya wanna wanaokwenda kujifungua huko Tunduma. Mataga yaliTAGA kwenye huu uzi.
Magufuli amelegea leo amefuta tozo ya mimba ya sh. 50,000/= wakati akiomba kura Tunduma.Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?
Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?
Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.
Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Agizo la Mheshimiwa Tundu Lissu limetekelezwa leo. Mwaka mtajua tu kuwa hamjui kituLissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?
Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?
Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.
Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Huko uliko una hali gani?Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Kwamba ni uongo?Sijui huko uliko una hali gani baada ya Magufuli kutangaza kuzifuta hizo tozo!🤣 🤣 🤣 Mimi ningeshauri wapime kwa kilo!!!
Hii ni moja ya maneno uongo tu kusogeza muda kabla ya kuanza kusema ule uongo mkuu wa "tumeibiwa kura".
Kwa kampeni za aina hii chama tawala hata kikiweka mbuzi agombee atashida tu.
Mkuu ma ccm mengi huwa nimajinga nikuyaacha tu mkuu wangu, tuishi nayo hivohivo.Huko uliko una hali gani?
Vibaraka mna hali ngumu sana!Haya JPM katangaza kufuta tozo za mimba😁😁Haha kwahiyo Lisu akafikiri akidanganya watu huko sumbawanga hatutajua.
Kwahiyo akawaambia TRA wanakusanya tozo za mimba??
Hayo nimajinga sema ndio hivo nindugu zetu, tutafanyaje mkuu.Vibaraka mna hali ngumu sana!Haya JPM katangaza kufuta tozo za mimba😁😁