Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

Pale Amana wajawazito wanalipishwa elfu 75 kujifungua kwa njia ya kawaida na hapo ndo mjini jiuluze huko vijijini kunakuwaje,kwahiyo usilete siasa kwenye mambo ya msingi dogo.
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
 
Maiti tu inatozwa Unashangaa mimba?
 
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.

Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?

Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?

Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.

Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.

Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Magufuli amelegea leo amefuta tozo ya mimba ya sh. 50,000/= wakati akiomba kura Tunduma.
 
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.

Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?

Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?

Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.

Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.

Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Agizo la Mheshimiwa Tundu Lissu limetekelezwa leo. Mwaka mtajua tu kuwa hamjui kitu
 
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Huko uliko una hali gani?
 
🤣 🤣 🤣 Mimi ningeshauri wapime kwa kilo!!!
Hii ni moja ya maneno uongo tu kusogeza muda kabla ya kuanza kusema ule uongo mkuu wa "tumeibiwa kura".
Kwa kampeni za aina hii chama tawala hata kikiweka mbuzi agombee atashida tu.
Kwamba ni uongo?Sijui huko uliko una hali gani baada ya Magufuli kutangaza kuzifuta hizo tozo!
 
Back
Top Bottom