Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongelea bunge lipi?
2026 mwaka wa kuanza KAZI Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya.
Watu wavumilivu wanajua umuhimu wa kusubiri ili mambo mazuri kwa taifa yaje.
Hata hii nayo ni sawa. Ikiwa italeta mabadiliko yanayotakiwa.Mh kwa hiyo rais apite bila kupigwa miaka mitano iwe ya kufanya reforms
Jitie kwenye ubora wa hoja zake.acha keleleMabadiliko anayotaka Lissu hayawezi kukubaliwa.
Lissu aache kuongopea wafuasi wake CCM haitilii maanani porojo zake.
Hakuna hoja upuuzi tu na porojo za Lissu za siku zote.Jitie kwenye ubora wa hoja zake.acha kelele
Uchaguzi utayeyuka ikiwa Katiba haitafanikiwa kupata Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya.Hatujasema bila Reforms tutasusia, tumesema bila reforms tutahakikisha Uchaguzi haufanyiki kabisa.
Lissu hajawahi kuwa na nia njema na Taifa hili kwa kujua au kutokujua. Kiufupi hana hela ya kuendesha uchaguzi watanzania wameshawastukia kwa kutembeza bakuli kila siku. Tone tone imebuma anatafuta njia ya kukwepa aibu. Kama ana uwezo wa kuzuia uchaguzi anashindwaje kusimamia kura zake?Lissu ana nia njema sana na taifa letu shida machawa na mafisadi ndo ambayo yanasauti sana kwenye huu utawala
Kwanini hamtaki tume huru ya uchaguz? Je mnaogopa nini?Lissu hajawahi kuwa na nia njema na Taifa hili kwa kujua au kutokujua. Kiufupi hana hela ya kuendesha uchaguzi watanzania wameshawastukia kwa kutembeza bakuli kila siku. Tone tone imebuma anatafuta njia ya kukwepa aibu. Kama ana uwezo wa kuzuia uchaguzi anashindwaje kusimamia kura zake?
Hats Samia mlimchangia fomu japo mnaibia wananchi hela zao za kodi.Lissu hajawahi kuwa na nia njema na Taifa hili kwa kujua au kutokujua. Kiufupi hana hela ya kuendesha uchaguzi watanzania wameshawastukia kwa kutembeza bakuli kila siku. Tone tone imebuma anatafuta njia ya kukwepa aibu. Kama ana uwezo wa kuzuia uchaguzi anashindwaje kusimamia kura zake?