Pre GE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli ni kwamba Chadema Haina mamlaka ya kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba
Endapo wakijaribu vyombo vinavyolinda katiba likiwemo jeshi na mahakama zitakuwa sahihi kuwashughulikia

Wananchi pekee Kwa umoja wao BILA mgawanyiko ndo wanaweza kupinga uchaguzi Tena Kwa utaratibu maalumu wa kubadilisha katiba


Swali je Chadema wamejipanga na Agenda Gani inayogusa wananchi wawaunge mkono Kwa umoja wao ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…