Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

Sina popote ninapokuzuia kumsema maana najua siasa. Nilichosema siasa za mawe sio siasa bali ni uhalifu. Unakwama wapi?


are you trying kusema ccm ndo wanahusika., uliona lakin watu walikua wangap? kwa kifupi tokea mbowe awe hapo kilimanjaro kila mtu alikua amemchoka, vitu vingine tunawaacha tu maaana mnakua kama wendawazimu sasa, ivi unadhan hatujui mnayofanya? si huyu apa jamaa alikua chadema mpaka ameapa na biblia , sasa nkiwaambia mna siasa chafu muwe mnakua waelewa

angalieni chama chenu kinapoelekea, madudu yote mnafanya mnacheka wenyewe!
 

Kama walifanya hayo mbele ya polisi unategemea nini? Hao polisi kuna mara nyingine walikwenda kwenye mkutano wa Mbowe na mawe yakarushwa, kisha polisi wakawa wanasema Mbowe awajibu hao wahuni. Inakuwaje mara zote iwe ni huko huko Hai? Na hizo ni tabia za DC wa Hai.

Huyu uliyemleta hapa sina tatizo na maelezo yake maana hiyo ndiyo siasa. Na kwa taarifa yako hivi juzi kakutwa akiwa ametekwa na kupigwa vibaya sana. Huyu aligombea ccm kwenye kura za maoni, na alishindwa. Lakini amekuwa akimtuhumu sana Gambo kuwa katoa rushwa. Hizo ndio siasa zenu za kutekana, na wote mmemuiga boss wenu.
 
Jambo lakusikitisha ni huwa mnaongea bila kuwa na prove buddy mradi wa maji ni mkopo from bank of africa 514 billion sio ufadhil wa world bank... Hospitali ya wilajaya inajengwa njiro na mpaka sasa hv kuna majengo bado yanamaliziwa hyo hospitali ya lema ni ya mama na mtoto ambayo ilifadhiliwa na maternity africa na kiwanja alitoa mawala... Bro ongea ukiwa na uhakika na unachosema sio kupayuka kimandazi tuu.. Arusha kuna barabara za lami mfano katikati ya mji maeneo ya makao mapya, barabara ya ngusero.. barabara ya uswailini....
Mzee usiwe bendera fata upepo, ongeza ukiwa na prove
 

unaongelea nn we jamaa, huyo anaongelea we bado uko na story za hai, kule wananchi hawataki kuwaskia kwahio kama mnataka mawe mengine sogeleeni teena, kwahio siasa zenu ni za kuchoma ofisi polisi wakiwepo, kweli kazi ipo
 
Hakuna hospital ya Lema wala ya Magufuli.Vyote ni kodi zetu mimi na wewe.Kama unakusanya kodi una wajibu wa kuwaletea wanachi maendeleo.Hakuna mbunge awe wa CCM au chama kingine chochote mwenye fedha.Kama eneo fulani halina maendeleo wakulaumiwa ni Serikali.
 
Kama T. L hana uungwaji mkono kama unavyodai, ni kwanini SIRIkali haitaki kabisa kuona habari zake zinasikika/kuonekana?!

kama yeye sio chochote tuonesheni basi hayo mapokezi kiduchu tuone!
TL ana domo kuoza. Anachoweza tu ni lugha chafu. Hivi karibuni tutamkaribisha kwa malkia wa Tandale akafanye utunzi wa nyimbo za singeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…