Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

Kuna nyimbo inaimba gusanisha hasi na chanya
Wanamziki wetu wana jumbe nzuri. .
 
..Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya.

..Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania.
Katiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?

Ila kwenye katiba ya Warioba issue ya muungano ndio binafsi siungi mkono lakini kama ilipita kwa mchakato ule tukubali tu tusipoteze fedha zaidi kwenye hili.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Katiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?

Ila kwenye katiba ya Warioba issue ya muungano ndio binafsi siungi mkono lakini kama ilipita kwa mchakato ule tukubali tu tusipoteze fedha zaidi kwenye hili.

..maridhiano ni ili kuikwamua Katiba ya Warioba.

..Nadhani suala hapa ni kuishawishi au kuishinikiza Ccm ili ikubali Katiba ya Warioba.
 
Katiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?

Ila kwenye katiba ya Warioba issue ya muungano ndio binafsi siungi mkono lakini kama ilipita kwa mchakato ule tukubali tu tusipoteze fedha zaidi kwenye hili.
Hiyo CCM hawaitaki, inatakiwa kuwalazimisha hadi waipitishe, pressure ya wananchi
 
Back
Top Bottom