Katiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?..Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya.
..Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania.
Katiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?
Ila kwenye katiba ya Warioba issue ya muungano ndio binafsi siungi mkono lakini kama ilipita kwa mchakato ule tukubali tu tusipoteze fedha zaidi kwenye hili.
Hiyo CCM hawaitaki, inatakiwa kuwalazimisha hadi waipitishe, pressure ya wananchiKatiba ya Warioba ipo maridhiano ya nini? Kazi ilishafanyika kila hatua kwanini tusihoji hapo hadi kieleweke?
Ila kwenye katiba ya Warioba issue ya muungano ndio binafsi siungi mkono lakini kama ilipita kwa mchakato ule tukubali tu tusipoteze fedha zaidi kwenye hili.
Mbowe kaonekana ameanza ku compromise ndio maana unasikia hiyo kauli ya Lissu..maridhiano ni ili kuikwamua Katiba ya Warioba.
..Nadhani suala hapa ni kuishawishi au kuishinikiza Ccm ili ikubali Katiba ya Warioba.
Mbowe kaonekana ameanza ku compromise ndio maana unasikia hiyo kauli ya Lissu