Lissu mbona mnyonge sasa?

Lissu mbona mnyonge sasa?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi.

Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana.

AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?

Snapinsta.app_472501306_1174335324126225_6279239362689736872_n_1080.jpg
 
Huyu mme wenu kawalala sana hamchoki kumtajataja.
 
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi.

Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana.

AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?

View attachment 3201093
Gentleman,
the seriousness and boldness of the chairman mbowe is the only thing that makes vice chairman very worried man 🐒
 
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi.

Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana.

AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?

View attachment 3201093
Kwani huyu Lissu ndiye alikutoa usichana wako dada halafu akakupiga chini? Mbona una hasira naye sana? Kwani K yako si amekuachia tafuta mwanaume mwingine utibu jeraha lako dada Mariam,sawa sawa?
 
Wana harakati uchwara wamemuingiza chaka kamanda wetu.
Ana muda mchache sana wa kujirudi - kupambana na jemedali mzee wa anga ni lazima ukipange mzee - utaishia kusema ooh kahonga wajumbe wote.
Mwamba tuvushe ipo live chief ni suala la tarehe tu...tupo live.
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe ndiyo mumemuingiza chaka huyu mzee
 
Tatizo la.maropo ndiyo hilo. Muda wote ni roporopo.

Yaani kwa akili.zako muasisi wa CDM Mh. Mbowe atishwe na kinyago alichokichonga mwenyewe?
 
Back
Top Bottom