Pre GE2025 Lissu: Mbowe akishindwa uwenyekiti wa CHADEMA, nitamlindia heshima yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya kuuaminisha umma kuwa ni mla rushwa mkubwa, msaliti aliyekiuza chama leo ndio aseme atamlindia heshima yake? Heshima gani itakuwa imebaki ya kulinda. Na kama mpaka sasa amekuwa haaminiki katika chaguzi za chama kwa nini aaminike kuwa ataweza kusimamia chaguzi zijao bila upendeleo?
Nadhani ameanza kuhisi kuwa mashambulizi yake yanaanza kuwa kwaza baadhi ya wapiga kura.

Amandla...
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, ila amekosa mikakati sahihi ya kampeni. Nina wasiwasi na timu yake ya kampeni si timu yenye watu wenye kujua siasa ya kampeni kama sayansi. Mashambulizi yake kwa mwenyekiti wake yataufanya uongozi wake (iwapo atashinda) kuwa wa changamoto nyingi sana za ndani ya chama.
 
Lissu apewe maua yake ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒธ๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒธ๐Ÿ’๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐Ÿ’๐Ÿ’ฎ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒผ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒป๐Ÿ๐ŸŒผ๐ŸŒท๐ŸŒทโš˜๏ธ๐Ÿชป๐Ÿชปโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธ๐Ÿชป๐Ÿชป๐Ÿชปโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธ๐ŸŒฑ๐ŸŒฑ๐ŸŒฑ๐ŸŒฑ๐ŸŒฟโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธโš˜๏ธ๐Ÿชป๐ŸŒท๐Ÿต๐Ÿต๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒธ๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒธ๐Ÿ’๐Ÿ’๐ŸŒบ๐ŸŒบ


#FREE DR.SLAA
 
nasema huyu Lisu kichwani kuna funza
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ