Pre GE2025 Lissu: Mbowe akishindwa uwenyekiti wa CHADEMA, nitamlindia heshima yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanajukwaa!
Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili

Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi

Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Baada ya kuuaminisha umma kuwa ni mla rushwa mkubwa, msaliti aliyekiuza chama leo ndio aseme atamlindia heshima yake? Heshima gani itakuwa imebaki ya kulinda. Na kama mpaka sasa amekuwa haaminiki katika chaguzi za chama kwa nini aaminike kuwa ataweza kusimamia chaguzi zijao bila upendeleo?
Nadhani ameanza kuhisi kuwa mashambulizi yake yanaanza kuwa kwaza baadhi ya wapiga kura.

Amandla...
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, ila amekosa mikakati sahihi ya kampeni. Nina wasiwasi na timu yake ya kampeni si timu yenye watu wenye kujua siasa ya kampeni kama sayansi. Mashambulizi yake kwa mwenyekiti wake yataufanya uongozi wake (iwapo atashinda) kuwa wa changamoto nyingi sana za ndani ya chama.
 
Lissu apewe maua yake 💐💐💐💐💐💐🌸💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸💐💐🌸💐🌸💐💐🌺🌺🌺🌺🌺💐💮🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌻🌻🌼🌺🌺🌺🌻🍁🌼🌷🌷⚘️🪻🪻⚘️⚘️⚘️🪻🪻🪻⚘️⚘️⚘️⚘️🌱🌱🌱🌱🌿⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️🪻🌷🏵🏵🌼🌼🌸🌸💐💐🌻🌻🌻🌼🌼🌺🌺🌻🌻🌸💐💐🌺🌺

#FREE DR.SLAA
 
Baada ya kuuaminisha umma kuwa ni mla rushwa mkubwa, msaliti aliyekiuza chama leo ndio aseme atamlindia heshima yake? Heshima gani itakuwa imebaki ya kulinda. Na kama mpaka sasa amekuwa haaminiki katika chaguzi za chama kwa nini aaminike kuwa ataweza kusimamia chaguzi zijao bila upendeleo?
Nadhani ameanza kuhisi kuwa mashambulizi yake yanaanza kuwa kwaza baadhi ya wapiga kura.

Amandla...
nasema huyu Lisu kichwani kuna funza
 
Duuh
 
Back
Top Bottom