JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"