Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nyerere wa kikazi hiki anaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Mmachame.Ieleweke MBOWE ni mchagga
Ah wapi!Wamesema tatizo la Lissu ni mkweli mno...
Hapo wanatuaminisha kuwa ukiwa mwanasiasa lazima uwe mwongo
LInda heshima yako kwa kutoa hoha zente nguvu. Ebu eleza Lisu amewahi kudanganta kuhusu nini. Usitoa sweeping statements kama wanavyofanya machawa. Sina mashaka, kuwa wewe hupo kwenye level hiyo.Ah wapi!
Lissu huwa anadanganya sana.
Hana tofauti na wanasiasa wengine.
Kipeyu tena! Ndo naliskia hili neno leo hii, ni kiswahili?Mtu ananyweshwa dawa kwa kipeyu.
Haki mboweKamlaghai nani ?
Mbowe ni mpenda haki, amani na utulivu
Tulichelewa sana kuufahamu ukweli kumhusu tapeli mbowe. Tulipoambiwa kaanzisha gazeti binafsi kwa pesa ya chama hakuna mwanachama aliyeamini.Mbowe ni mlaghai sana
Ngumu sana ku-comment, itoshe kusema Lissu naye ni binadamu, si malaika. Tuungane naye katika harakati za kumng'oa sultan mbowe kupitia sanduku la kura.Ebu eleza Lisu amewahi kudanganta kuhusu nini.
Mpaka hapa mwishoni alituaminisha kuwa hana mpango wa kugombea Uenyekiti kwa sababu ana imani na Mbowe. Kumbe wakati wote huo alikuwa anajua kuwa hafai? Na hivi karibuni amesema kuwa aliamua kugombea kwa sababu Mbowe alimtuma Wenje kum challenge kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Hata Heche alisema Wenje ndie aliyewafikisha walipo. Lissu haaminiki."Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Wajumbe wataamua tarehe 21 kati ya mbowe na Lissu nani wakuaminika.Lissu haaminiki.
Amandla...
Unadhani CAG asingeona pesa za chama zinatumika kuanzisha gazeti la Mbowe? Lijualikali alisema amejinunulia shamba Kilombero kwa pesa za chama. Takukuru wakaahidi kukagua lakini mpaka leo kimya. Kuna mchezo mchafu unaoendelea. Mwisho wake ni majuto.Tulichelewa sana kuufahamu ukweli kumhusu tapeli mbowe. Tulipoambiwa kaanzisha gazeti binafsi kwa pesa ya chama hakuna mwanachama aliyeamini.
Wajumbe watakagua vitabu vya CDM? Wajumbe wanachagua viongozi. Hawafanyi uchunguzi wa shutma zozote.Wajumbe wataamua tarehe 21 kati ya mbowe na Lissu nani wakuaminika.
Katika hali ya kisiasa ya Tanzania, Mbowe alikumbana na changamoto kubwa alipotoka gerezani. Alijua vizuri kuwa anaweza kuathiriwa na mazungumzo aliyokuwa nayo na Rais, na hivyo aliamua kuwa na busara katika kushiriki taarifa hizo. Mbowe alikuwa na maarifa ya kisiasa na alijua kwamba kila neno alilosema linaweza kuwa na athari kubwa kwa mustakabali wa siasa za nchi hiyo."Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Mkuu umetufungia mada.Nimemuelewa Mbowe,baada ya kuona kuwa hana uwezo tena wa kupambana na CCM na umri unamtupa mkono akaamu kufuata kanuni ya if you can't fight them join them. Mbowe ameamua ajilipe kiinua mgongo kimtindo ndiyo haya maagano ya kumfanyia Samia wepesi kwa kuidhoofisha Chadema kimtindo. Siyo kweli kuwa Mbowe hajui kuwa wanachama hawamtaki tena kuwa mwenyekiti na anajua kulazimisha kuwa mwenyekiti ni kitendo kitakacholeta mpasuko mkubwa ndani ya Chadema kwa hiyo kila kinachoendelea ni mpango mahsusi uliopangwa na Mbowe mwenyewe na Samia. Hiyo 12B ambayo ameshapokea kama advance na nyingine atakayolipwa soon ndiyo kiinua mgongo chake. Biashara ni mipango tu.
Kuna madeni hewa mengi huyu tapeli anadai kukikopesha chama, mojawapo ndilo hilo alijilipa kuanzisha gazeti lake.Unadhani CAG asingeona pesa za chama zinatumika kuanzisha gazeti la Mbowe?
Amandla...
Wizi wa aina hiyo haufichiki. Kama alilipwa deni hewa angepatikana mapema tu.Kuna madeni hewa mengi huyu tapeli anadai kukikopesha chama, mojawapo ndilo hilo alijilipa kuanzisha gazeti lake.
CAG kugundua utapeli kama huo itategemea strength ya financial control system ya chama.