Pre GE2025 Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
LInda heshima yako kwa kutoa hoha zente nguvu. Ebu eleza Lisu amewahi kudanganta kuhusu nini. Usitoa sweeping statements kama wanavyofanya machawa. Sina mashaka, kuwa wewe hupo kwenye level hiyo.
Tutashitakiwa MIGA
 
Kama kuna jambo litamgharimu Lissu kukosa uenyekiti ni kuwa mkweli...basi namsihi ashikilie tu hapo hapo.

Lissu atakapoingia wimbo wa hii nchi utabadilika....taka wasitake watatoa HAKI...bila kuombwa wala kulambalamba asali.
 
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"

Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.

Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.

Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
KWA BAHATIU MBAYA SANA LISSU HAJUI KUWA ANAPAMBANA NA CHAMA CHA MTU BINAFSI, CHADEMA TAYARI IMESHAUZWA BAADA YA MBOWE KUONA MUDA UMEKWENDA NA HAWEZI FANYA LOLOTE LA MAANA TENA AKAAMUA KUINGIA MARIDHIANO KWA KUKIUZA CHAMA , HIVYO ALIYEKINUNUA HATAWEZA KUKUBALI KUMUACHIA LISSU AKIONGOZE HATA KIDOGO NA YUPO TAYARI KUSAIDIA PALE INAPOTAKIKANA MSAADA ILI MRADI TU ASIINGIE KWENYE UENYEKITI CHAMA KIBAKI DOMANT YAANI KIWE KIPOKIPO TU KISIWE NA NGUVU PIA UCHAGUZI MKUU KITAPATA NA WABUNGE KADHAA NA WATAPEWA NA VYEO SASA LISSU ANAHANGAIKA TU BORA MAPEMA ANGEJIWAHI AKAHAMIA CHAMA KINGINE AKAJIPANGE KWAAJILI YA UCHAGUZI MKUU MUDA UNAENDA ACHA WATU WAFANYE BIASHARA CHADEMA HAIWEZI
 
Akizungumza na BBC, Tundu Lissu amesema;

"....Mwenyekiti aliyeenda Gerezani si Mwenyekiti aliyetoka Gerezani. Baada tu ya yeye kutoka Gerezani hakika alibadilika mno. Ilifikia hadi hatua anatutaka kutomuuliza lolote alilozungumza na yule mama akidai si kila atakachozungumza na Raisi atatueleza."
 
Lissu huwezi kushinda kwa kutumia personal attacks za moja kwa moja kwa Mwenyekiti wako bila ushahidi wowote ule - Kiongozi bora hawezi kumwaga upupu ndani ya nyumba ambayo na naye pia anaishi humo - ili tujikune wote siyo!!
Wajumbe kuweni makini hamna mtu humo.
 
Is not personal attack is more of plain truth, Yes mbowe changed after ile incident, but why ? Ali made deal kwa ajili ya chama au kwa ajili yake?
 
Lissu huwezi kushinda kwa kutumia personal attacks za moja kwa moja kwa Mwenyekiti wako bila ushahidi wowote ule - Kiongozi bora hawezi kumwaga upupu ndani ya nyumba ambayo na naye pia anaishi humo - ili tujikune wote siyo!!
Wajumbe kuweni makini hamna mtu humo.
Mental case TAL
 
Kuna Tofauti Kati ya upupu wa chama na upupu wa Mwenyekiti wa chama!
 
Tulikuwa tunauliza humu mmeridhiana nini?

Mnageuka mbogo kumbe mlikuwa mnaimba taarabu tu anayejua ni mwenye nyumba tu.

Maridhiano bila kamati ni usanii mtupu.
 
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"

Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.

Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.

Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Lissu ni mzungumzaji mzuri...

Hili la Mbowe kutoka gerezani na kuelekea moja kwa moja Ikulu lilizua sana mjadala kipindi kile.
zitto junior

G Sam econonist Nguruvi3 JokaKuu
 
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"

Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.

Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.

Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
hivi anaitwaje huyu?
 
Back
Top Bottom