JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Anaongea ukweli mtupuWamesema tatizo la Lissu ni mkweli mno...
Hapo wanatuaminisha kuwa ukiwa mwanasiasa lazima uwe mwongo
Ha ha! Wamesema haifaiAnaongea ukweli mtupu
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Kwamba aache kuongea ukweli? Awe laghai kama mboweMwambieni Lissu au basi
Wakati huo huo Donald Trump anawapiga pin globalists kwa kusema ukweliWamesema tatizo la Lissu ni mkweli mno...
Hapo wanatuaminisha kuwa ukiwa mwanasiasa lazima uwe mwongo
Ieleweke MBOWE ni mchaggaNimemuelewa Mbowe,baada ya kuona kuwa hana uwezo tena wa kupambana na CCM na umri unamtupa mkono akaamu kufuata kanuni ya if you can't fight them join them. Mbowe ameamua ajilipe kiinua mgongo kimtindo ndiyo haya maagano ya kumfanyia Samia wepesi kwa kuidhoofisha Chadema kimtindo. Siyo kweli kuwa Mbowe hajui kuwa wanachama hawamtaki tena kuwa mwenyekiti na anajua kulazimisha kuwa mwenyekiti ni kitendo kitakacholeta mpasuko mkubwa ndani ya Chadema kwa hiyo kila kinachoendelea ni mpango mahsusi uliopangwa na Mbowe mwenyewe na Samia. Hiyo 12B ambayo ameshapokea kama advance na nyingine atakayolipwa soon ndiyo kiinua mgongo chake. Biashara ni mipango tu.
Kamlaghai nani ?Mbowe ni mlaghai sana