Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Tutashitakiwa MIGALInda heshima yako kwa kutoa hoha zente nguvu. Ebu eleza Lisu amewahi kudanganta kuhusu nini. Usitoa sweeping statements kama wanavyofanya machawa. Sina mashaka, kuwa wewe hupo kwenye level hiyo.
TAL Hana maisha marefu! Mpeni nachokitaka,mapema tutarudia uchaguziKama kuna jambo litamgharimu Lissu kukosa uenyekiti ni kuwa mkweli...basi namsihi ashikilie tu hapo hapo.
KWA BAHATIU MBAYA SANA LISSU HAJUI KUWA ANAPAMBANA NA CHAMA CHA MTU BINAFSI, CHADEMA TAYARI IMESHAUZWA BAADA YA MBOWE KUONA MUDA UMEKWENDA NA HAWEZI FANYA LOLOTE LA MAANA TENA AKAAMUA KUINGIA MARIDHIANO KWA KUKIUZA CHAMA , HIVYO ALIYEKINUNUA HATAWEZA KUKUBALI KUMUACHIA LISSU AKIONGOZE HATA KIDOGO NA YUPO TAYARI KUSAIDIA PALE INAPOTAKIKANA MSAADA ILI MRADI TU ASIINGIE KWENYE UENYEKITI CHAMA KIBAKI DOMANT YAANI KIWE KIPOKIPO TU KISIWE NA NGUVU PIA UCHAGUZI MKUU KITAPATA NA WABUNGE KADHAA NA WATAPEWA NA VYEO SASA LISSU ANAHANGAIKA TU BORA MAPEMA ANGEJIWAHI AKAHAMIA CHAMA KINGINE AKAJIPANGE KWAAJILI YA UCHAGUZI MKUU MUDA UNAENDA ACHA WATU WAFANYE BIASHARA CHADEMA HAIWEZI"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Is not personal attack is more of plain truth, Yes mbowe changed after ile incident, but why ? Ali made deal kwa ajili ya chama au kwa ajili yake?Lissu huwezi kushinda kwa kutumia personal attacks za moja kwa moja kwa Mwenyekiti wako bila ushahidi wowote ule - Kiongozi bora hawezi kumwaga upupu ndani ya nyumba ambayo na naye pia anaishi humo - ili tujikune wote siyo!!
Wajumbe kuweni makini hamna mtu humo.
Mental case TALLissu huwezi kushinda kwa kutumia personal attacks za moja kwa moja kwa Mwenyekiti wako bila ushahidi wowote ule - Kiongozi bora hawezi kumwaga upupu ndani ya nyumba ambayo na naye pia anaishi humo - ili tujikune wote siyo!!
Wajumbe kuweni makini hamna mtu humo.
Pengine walikuwa wanatongozanaTapeli anawaambia viongozi wasaidizi wake eti hawezi kuwaambia kila alichoongea na rais, hayo asiyotaka wengine wayajue hayana uhusiano na chama?
Muulize @Bintikiziwi atakwambia mkuu.Kipeyu tena! Ndo naliskia hili neno leo hii, ni kiswahili?
Kuna Tofauti Kati ya upupu wa chama na upupu wa Mwenyekiti wa chama!Lissu huwezi kushinda kwa kutumia personal attacks za moja kwa moja kwa Mwenyekiti wako bila ushahidi wowote ule - Kiongozi bora hawezi kumwaga upupu ndani ya nyumba ambayo na naye pia anaishi humo - ili tujikune wote siyo!!
Wajumbe kuweni makini hamna mtu humo.
Lissu ni mzungumzaji mzuri..."Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
hajawahi kuwa*fight* hata mara moja!Mkuu umetufungia mada.
Atakayebishi uliyoyasema tumchangie gharama za matibabu Milembe.
hivi anaitwaje huyu?"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi kwasababu ya kulegea kwa misimamo ya mageuzi ya Mwenyekiti na chama kwa ujumla.
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami amezungumza na Tundu Lissu katika mahojiano maalumu.
Pia soma ~ Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe "Mugabe"
Ngoja nilitizameMuulize @Bintikiziwi atakwambia mkuu.
Hatujashtakiwa kwenye arbitrations na tumelipa zaidi ya Billion 800?Tutashitakiwa MIGA