Pre GE2025 Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa maelezo yako hayo basi mbowe hafai hata dk moja kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani,

Unatunza siri na aliyepo madarakani wkt watu wako wanakufa, wanapotezwa, na hawajulikani walipo, hizo sio busara huo ni usaliti
 
Utanielewa baada ya mbowe kushinda uchaguzi!
 
Mbowe Kuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…