chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza Watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura.