Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

..kuna tajiri mmiliki wa hoteli ya ngurdoto yeye alikuwa na tabia ya kulala asubuhi na mchano kazi zote alikuwa akifanya usiku.
Mrema nlikua namkuta pale Impala hotel saa 5 usiku na hotpot kubwa limejaa mandazi. Alikua halali usiku.
 
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.

Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.

Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?

Tafakari kabla ya kupiga kura
Kwani Rais anatakiwa kuamka saa ngap?
 
Magufuli alikua halali anakesha ameiachia nini nchi cha maana? Hivi seriosly Nyie ndo hazina ya CCM ya kuwajibu wapinzani? Seriously hisi ndo analysis ilizoandaa CCM kuelekea kwenye siasa za hoja?
 
Kule usukumani tunapiga jembe saa 8 usiku s

Kule usukumani tunapiga Jembe saa 8 usiku....12 kasoro watu tupo kitandani tunapiga miruzi....
 
Unasubiri analysis za darasani? Huku ni saiti mazee
 
Kule usukumani tunapiga jembe saa 8 usiku s

Kule usukumani tunapiga Jembe saa 8 usiku....12 kasoro watu tupo kitandani tunapiga miruzi....
Tatizo usukumani uchawi mwingi, unaweza kwenda saa nane usiku, halafu wale ma master wakakutembeza usiku kucha na shambani hufiki, au unawalimia mashamba yao
 
MI uwa naamka sa sita lakini Nina maendeleo ya hatari kivyangu vyangu kabla ya kulala na acha kabisa kila kitu kiendelee Kuanzia sa moja na uwa nalala sa 8 usiku au sa kumi alfajiri
 
JF Kila mtu ni bilionea, na wewe umo, hongera
 
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Ametoa sababu gani
 
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.

Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.

Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?

Tafakari kabla ya kupiga kura
Hv nayo hii ni hoja kweli??? Au kwa kuwa mnajiandikia tu ilimradi mkono uende kinywani?!

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hatuhitaji kiongozi wa nchi mvivu
Kwani yule mwendazake pamoja na kujifanya anakesha na mafaili kitandani alileta maendeleo gani ya maana? Kuamka mapema hakuna uhusiano na maendeleo! Tafuta hoja nyinginehii ya kichawi achana nayo!
 
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.

Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.

Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?

Tafakari kabla ya kupiga kura
ikiwa analala saa.10 usiku?
 
Back
Top Bottom