Huyu Yuko katika usaili wa nafasi ya Urais, siongelei genge la mango hapa
Umezungumzia maendeleo. Mbona Japan inaruhusiw kulala kazini au ofisini. Kuamka mapema hakumanishi unafanya kaz nzuri. Wako ambao wanaamka mapema na wanaharibu kila siku.Huyu Yuko katika usaili wa nafasi ya Urais, siongelei genge la mango hapa
Hata mimi napenda kuamka saa nne. Ila maendeleo yanaonekana. Be your own boss. .
Hatuhitaji kiongozi wa nchi mvivuUmezungumzia maendeleo. Mbona Japan inaruhusiw kulala kazini au ofisini. Kuamka mapema hakumanishi unafanya kaz nzuri. Wako ambao wanaamka mapema na wanaharibu kila siku. .
Nimesema naamka saa nne na nina maendeleo makubwa. .
Sio vita
Mkuu gombea wewe urahisi tupigie kulaHatuhitaji kiongozi wa nchi mvivu
Mkuu niliona kuna mtu ameandika leo atahojiwa ITV sijajua ni kweli ama?Umezungumzia maendeleo. Mbona Japan inaruhusiw kulala kazini au ofisini. Kuamka mapema hakumanishi unafanya kaz nzuri. Wako ambao wanaamka mapema na wanaharibu kila siku. .
Nimesema naamka saa nne na nina maendeleo makubwa. .
Sio vita
Ulevi tub,si akae kimya maana anaongea hadi anajisahau amekuwa chizi sasaTundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Anasema ndio utaratibu wake, sio sababu ya ugonjwaUnajua utaratibu wa tiba kwa kila mgonjwa au anaepitia kipindi cha baada ya ugonjwa,tena zaidi huyo ni ugonjwa uliotokana na jaribio la shambulizi dhidi ya maisha binafsi ya mhusika🤔