Mrema nlikua namkuta pale Impala hotel saa 5 usiku na hotpot kubwa limejaa mandazi. Alikua halali usiku...kuna tajiri mmiliki wa hoteli ya ngurdoto yeye alikuwa na tabia ya kulala asubuhi na mchano kazi zote alikuwa akifanya usiku.
Kwani Rais anatakiwa kuamka saa ngap?Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Magufuli alikua halali anakesha ameiachia nini nchi cha maana? Hivi seriosly Nyie ndo hazina ya CCM ya kuwajibu wapinzani? Seriously hisi ndo analysis ilizoandaa CCM kuelekea kwenye siasa za hoja?Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Kule usukumani tunapiga jembe saa 8 usiku sTundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Kule usukumani tunapiga Jembe saa 8 usiku....12 kasoro watu tupo kitandani tunapiga miruzi....Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Unasubiri analysis za darasani? Huku ni saiti mazeeMagufuli alikua halali anakesha ameiachia nini nchi cha maana? Hivi seriosly Nyie ndo hazina ya CCM ya kuwajibu wapinzani? Seriously hisi ndo analysis ilizoandaa CCM kuelekea kwenye siasa za hoja?
Tatizo usukumani uchawi mwingi, unaweza kwenda saa nane usiku, halafu wale ma master wakakutembeza usiku kucha na shambani hufiki, au unawalimia mashamba yaoKule usukumani tunapiga jembe saa 8 usiku s
Kule usukumani tunapiga Jembe saa 8 usiku....12 kasoro watu tupo kitandani tunapiga miruzi....
Ametoa sababu ganiHivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Hv nayo hii ni hoja kweli??? Au kwa kuwa mnajiandikia tu ilimradi mkono uende kinywani?!Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
Kwani yule mwendazake pamoja na kujifanya anakesha na mafaili kitandani alileta maendeleo gani ya maana? Kuamka mapema hakuna uhusiano na maendeleo! Tafuta hoja nyinginehii ya kichawi achana nayo!Hatuhitaji kiongozi wa nchi mvivu
Na mimi nimeona tena ameandika patachimbikaš¤£Mkuu niliona kuna mtu ameandika leo atahojiwa ITV sijajua ni kweli ama?
ikiwa analala saa.10 usiku?Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka akiutwanga usingizi na kuota ndoto za mambo mbali mbali ya kuvutia na ya kutisha.
Atakuwa na mamlaka ya kimaadili kuhimiza watanzania waamke mapema wakachape kazi?
Tafakari kabla ya kupiga kura
My thoughts as well, kama ulikuwa kichwani mwangu.Kwani sio nyie huwa mnasema Urais ni taasisi?
Jitahidi muwe na consistence ya kile mnachosimamia.
Nyie hamviki mto ila mmezoea kuvushwa mto,ila sasa mjipange hiyo dezo imefikia ukomo ni mwendo wa kula vya kuchinja kwa jasho lenu wenyewe, š¤Tutavuka mto tukiufikia