Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

1. Hujui analala saa ngapi huenda hukesha
2. Mbona bungeni huwa hachelewi kufika?
3. Mahakamani huwa hachwlewi?
4. Kuamka inategemea na una ratiba gani siku husika
 
1. Hujui analala saa ngapi huenda hukesha
2. Mbona bungeni huwa hachelewi kufika?
3. Mahakamani huwa hachwlewi?
4. Kuamka inategemea na una ratiba gani siku husika
Ulishahudhuria kesi gani mahakamani Lissu akiwa wakili? Au ndio mambo ya kufikirika
 
Aliyekuwa Analala Na File Kitandani Leo Hii Yupo Wapi?
Yaani daladala posta makumbusho Yuko tripu ya kumi Rais amelala? Wakulima wamemaliza kulima maekari Rais amelala? Hatutaki Rais wa hivyo.

Nchi hii Ina miradi mingi mno, SGR, Bwawa la Stiglers, daraja la jpm, hospitali nchi nzima zinajengwa, mtu anayelala hivyo ataisimamia saa ngapi
 
Ndio utajua hujui, vijijini tunaenda shamba saa 11 asubuhi halafu tumpigie kura mtu anayeamka saa saba mchana
Mpigie kura unayeona anakufaa na itakuwa vuzuri ukimpigia anayeenda shambani(a peasant) saa 11 alfajiri, wenye ratiba za maana wanaokwenda kwa schedule wanaelewa hata mtu akiamka saa 6 za mchana kama ratiba yake inamruhusu. Muda mzuri wa ku-concentrate(kwa sisi ambao si peasants) ni usiku na huwa ikilazimu tunalala alfajiri.
 
Kuna watu wanaamka saa kumi usiku ila ni vibarua makuli wabeba mizigo na maboss wao wanaowalipa wanaamka saa mbili asubuhi. Usikariri maisha.
 
..kuna tajiri mmiliki wa hoteli ya ngurdoto yeye alikuwa na tabia ya kulala asubuhi na mchano kazi zote alikuwa akifanya usiku.
Mzee Mrema marehem sasa. Tunatokea wote rombo alikuwa jirani yangu. .
 
Usha wahi kupewa stories za Rais wa sasa wa Brazili? Alishinda juzi kati ingawa alisha wahi pia kuwa Raisi. Au umejikita kusomea umbea tu
 
Mrema nlikua namkuta pale Impala hotel saa 5 usiku na hotpot kubwa limejaa mandazi. Alikua halali usiku.
Alikuqa analala asubuhi, jioni anaingia kazini hadi asubuhi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…