LGE2024 Lissu: Mimi natembea na risasi mwilini siogopi, nyie mnaogopa

LGE2024 Lissu: Mimi natembea na risasi mwilini siogopi, nyie mnaogopa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Lissu Abarikiwe.

HOFU ni dhambi, muhimu uwe tu katika Kweli na HAKI.

Rabbon pia siogopi na sitaogopa.
 
Kati ya mfungwa na aliyemahabusu nani anaogopa gereza. Sisi hatutaki kutembea na risasi ila wewe tayari unatembea nayo
 
Kumbukumbu iwekwe sawa hapo, hata yeye hakupenda kutembe na hiyo risasi mwilini.
 
Back
Top Bottom