Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wewe uliishajilaanisha siku nyingi.Kumpigia kura Tundu Lisu ni kupiga kura watoto wako wawe mashoga.
Lissu asitake kutufanya kuwa Watanzania wote anatuzidi akili hivyo kutaka tumuamini kila anachokiongea Ni sahihi.
Hivi tukirudi Nyuma wakati wa vita ya MAUMAU Ni mkenya yupi alikuwa amepata access ya kusomea sheria?
Wakati wa kupigania Uhuru Tanzania Ni Mtanzania yupi alikuwa ashapata access ya kusomea sheria mbele ya shule na vyuo vya mkoloni?
Nikweli lissu hajui kuwa wakati huo elimu, Afya na huduma zingine zilitolewa kwa upendeleo wa rangi.
Ni mkoloni yupi alikuwa tayari kumufunza muafrika Sheria ili adai haki yake?
Kwanini TL kashindwa kutolea mifano ya maisha ya kisasa ambayo Kenya na Tanzania imejaa mawakili wasoni akiwemo na yeye?.
Hoja ya TL ningeiona Ina mashiko zaidi Kama mifano yake ingejikita kwenye kipindi Cha Leo na Wala siyo hicho Cha Vita vya MAUMAU.
Mwisho; Ni dhahili kuwa Kuna kila dalili za tundu lissu kutumika na watu wanaosadikika Ni mabeberu kutoka ughaibuni, hii nikutokana na style aliyorudi nayo nchini mwake pamoja na kupenda kuandika kingereza Sana katika account zake za kijamii(twiter) huku Akitag Majina ya watu wa nje angali yeye kwa kinywa chake alisema Watanzania wengi hawajui kingereza.
Zimebaki siku5 tu Watanzania tunaojielewa tutenganishe ngano na magugu.
Huyo hana akiri, nyerere alitumia hao kwa kuwa hatukuwa na mawakili wenye uwezo,Hicho kichwa wakiache tu.
28102020Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA amesema yeye sio wa kwanza kumtumia mwanasheria au wakili ambaye ni raia wa Uingereza.
Amejibu hivyo alipoulizwa kuhusu kutumia watu wa nje kwa masuala ya ndani. Suala hilo amesema kuwa hata mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliposhitakiwa na wakoloni alitafuta wakili wa Kiingereza.
Pia amesema hata aliyekuwa Rais wa Kenya, Jomo Kenyatta aliposhtakiwa kwa kesi ya MAUMAU pia alitafuta wakili wa kiingereza.
Alijieleza hivyo alipoulizwa na muandishi wa BBC Swahili kuhusu kuonekana kwake anajihusisha na ‘mabeberu’ kwa kuwa na hata wakili wake ni wa kutoka nchi ya kigeni.
... ha ha ha! Gbadolite kule kijijini alikozaliwa dikteta Mobutu Ssesseko Kuku wa Zabanga kuna magofu ya li-international airport fulani ambalo halikuwahi kutumika tangu lijengwe! Kwa hiyo naomba kupingana na wewe; precedence ipo!Cha ajabu ni uwanja WA kimataifa WA Chato Tu mengine yote ni ya kawaida na yameshawahi kutokea.
Magufuli anaanzia wapi kukataa pesa za mabeberu ?Juzi wamepata hela za covid kutoka kwa mabeberu kwanini hawakuzikataa kwa kuwa Tanzania covid hamna