Uchaguzi 2020 Lissu: Mimi sio wa kwanza kuwa na wakili Muingereza

Lissu hawezi kushinda wala kuongoza Tanzania wala Chadema,hana hadhi ya kuwa hata mwenyekiti kwenye kikao cha familia.Lissu atabaki kuwa mmoja wa mawakili wazuri sana kuwahi kutokea Tanzania.Tarehe 28 pigia Magufuli Tanzania njema yaja.
 
Hushangai katika tasnia ya sheria hukumu hadi za karne mbili zilizopita hufanyiwa rejea katika kufikia maamuzi. Mbona hilo hupingi kwamba mazingira ya wakati huo sio sawa na ya sasa? Na ni mawakili gani wazawa wana uwezo wa kupambana na mfumo ulioimeza mifumo mingine yote ya utoaji haki wakiwamo hao hao mawakili wazawa? Mna macho hamuoni; mna masikio wala hamsikii?
 
Nadhani Jomo Kenyatta kwenye kesi yake ya maumau maarufu kama The Kapenguria 6.
walitetewa na wakili wa kwanza raia wa Kenya mjaluo aliyesomea sheria huko uingereza anaitwa Argwings Kodhek.
But it was a panel of counsels and the late Dr. Argwings Kodhek was the only Kenyan among the British counsels.

Remember during those early days the pre independence Kenya had no worthy lawyers and Dr. Kodhek was the first Kenyan graduate lawyer.

When Uhuru Kenyatta was indicted by the ICC he also sought the services of the renowned British lawyer to represent him.
 
Wanataka achukue hawa wa Bongo kina Kibatala,Jebra na wengine ili wawavue uwakili.

Wakamvue uwakili Robert kama walivyomfanyia Fatuma.
 
Aliotutajia wote walitafuta mawakili wazungu baada ya kuwa na kesi mahakamani tena dhidi ya wazungu.

Uhuru Kenyatta pia alimtafuta Steven Kay juzi tu hapa (Muingereza mzoefu na ICC) amtetetee kwenye kesi yake ya ICC.

Je yeye anatetewa kwenye kesi ipi na huyo Copenhagen?
 
Katika nchi nyingi za Afrika kuonekana unashirikiana na upinzani ni kama adui wa watawala waliopo. Hata mawakili wanaotimiza wajibu wao kutetea watu wanaoonekana kujihusisha na upinzani huwa kama wanahatasha Kazi zao. Nadhani kwa kuliona hilo ndiyo maana Lisu kaamua kumuweka Wakili ambaye hatabanwa na watawala katika kutimiza wajibu wake.
 
Kamanda ina maana kibatala hii kazi haiwezi?
 
Huyo hana akiri, nyerere alitumia hao kwa kuwa hatukuwa na mawakili wenye uwezo,
Sasa leo anamaanisha akina kibatara hawana uwezo?
Wewe una akili za wapi?Unataka mkulima kesi yake ya kuliwa shamba lake la mahindi na Ngedere apeleke kwa Tumbili?
 
... ha ha ha! Gbadolite kule kijijini alikozaliwa dikteta Mobutu Ssesseko Kuku wa Zabanga kuna magofu ya li-international airport fulani ambalo halikuwahi kutumika tangu lijengwe! Kwa hiyo naomba kupingana na wewe; precedence ipo!
Liliwahi kutumika mara moja kwa ndege aina ya Concorde iliyo mleta Rais wa Ufaransa kijijini alikozaliwa Mobutu, basi.
 
Hayo ni majibu ya KITOTO kwa maswali ya KIKUBWA. Wewe Lissu kama Wakili, unawezaje kulinganisha enzi za Mwalimu Nyerere na Mzee Kenyatta na enzi zenu, ambako mko mawakili wa Kitanzania kibao. Be serious guy! Huyo ni mpambe wako anayelipwa na mabeberu wenzake kwa NIA NA MALENGO MAOVU dhidi ya Tanzania yetu. Lakini hampati kitu hapa, kama huamini siku ukikutana na Idd Amini Dada muulize kilichomkuta enzi hizo.
 
Guys who would like to see a live on television debate between all the presidential candidates from different parties, on essential matters like our healthcare insurance issue, each candidate could get 2 minutes to give Tanzanians citizen steps and where the funds would come from, no interruptions, and after 2 minutes answers from each candidate, each can get 30 seconds to rebuke on the answers.....what do you think, and also questions can come from selected people on different economic sectors to add more questions, important matters like human rights, changes on our constitution laws (katiba), discussion on how much power does the president have over our nation constitution etc...give me your answers
 
Hivi kuna sheria au dhambi ya Mtanzania kutetewa na mzungu au mchina?

Watu hata hamjali kufuatilia Lissu alikuwa wapi na wakati gani na kibano gani au fursa gani ya kupata wakili.

Yaani mlitaka Lissu anyanyue tu mikono juu au kuinamisha tu chini kichwa chake kusubiri kisu kama tulivyolelewa, kuaminishwa na kulemaa kwa miaka yote hii.

Watu hamtaki raia kuwa na tabia ya kuhoji, kutoa changamoto, kukemea hata kupendekeza lolote kinyume na kikundi cha waliopewa mamlaka.

Ni kweli itapita miaka mia moja maana hata waliokwisha piga hatua za maana haikuwa miaka hamsini.
 
jibu ni moja...hajaona wakili wa hapa kwetu aliyemzidi uwezo katika mambo ya kisheria
 
Uko sahihi kwamba wapo mawakili mahiri Watanzania, ila kwa ubabe wa serikali ya Tanzania kabla ya leo, hakuna wakili Mtanzania atachukua kesi y Lissu na kuiendesha bila kuathirika vibaya. Usisahau kuwa ofisi ya Fatma Karume, iliyokuwa wakili wa ACASIA, iliwekewa milipuko ya mabomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…