Uchaguzi 2020 Lissu: Mimi sio wa kwanza kuwa na wakili Muingereza

Ni jambo moja tu hapa linalostaajabisha; wewe kujitangaza "kuwa mwelewa"!
 
Ni jambo moja tu hapa linalostaajabisha; wewe kujitangaza "kuwa mwelewa"!
 
Akili ya mwanasheria ama wakili yeyote huwa haijikiti kushindwa.
 
Mtoto wangu ambaye kiumri ana miaka tisa ameniuliza, " hivi baba kuna kosa lolote la kisheria ambalo lissu amevunja kwa kutetewa na wakili Muingereza?".

Nimemwambia avute subira, jibu litapatikana kwenye huu mjadala unaoendelea hapa JF.
 
Tatizo leni njie mnatumia mabomu na kuvua uwakili, achana na kupambikka kesi tena zisizo na dhamana badala ya kujibu hoja kwa hoja.
 
Joka la makengeza wakili wake si ni beberu pia
 
Kwa Lissu hakuna swali lisilo na jawabu (kama Mwalimu Nyerere vile).
Kwa kweli rais ajaye tunaye hakiyaMungu!
 
Maswali mengine yanaonyesha ujinga wako. Wapi katika sheria za nchi zinakatazwa kuwa na wakili toka nchi za kigeni? Kule Zanzibar kuna wakati majaji walilkuwa Wanigeria. Kule Namibia kulikuwa na Jaji Mkuu Tanzania wakati fulani. Mkuu wa mamlaka ya mapato ya Sudan ya Kusini ni Mtanzania. Wakati mwingine ni vizuri kunyamaza na kuficha ujinga wako.
 
Kwani kuna shida gani kuwa na wakili wa nchi nyingine. Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!


JESUS IS LORD!
 
Kwahiyo hao hawakuwa waingereza au?
 
Na wewe unayumba pia, hata mpaka sasa hivi kuna baadhi ya kesi tunatumia mawakili wa kibeberu, hivyo hoja yako yako haina uhalisia pia.
 
Yuko sawa, kwa sababu Tanzania mawakili hawako huru, ndio maana Fatuma kafutwa uwakili, Jebra Kambole anasumbuliwa.
Hivyo kuwa na wakili wa kimataifa, kutamsaidia hata kwenye mahakama za kimataifa.

Ndio maana hata Simba na Yanga zina makocha wa kizungu ili watusue kimataifa.
 

Mbona hueleweki ndugu?.

Maelezo ya Tundu Lissu yanatokana na swali aliloulizwa kuhusu yeye kutumia wakili wa nje ya nchi kumtetea katika maswala yake ya kisheria..

Sasa wewe hapa sijui hoja yako ni nini hasa?

Mimi nilidhani kuwa ungeweza kumpinga kwa kusema siyo kweli kuwa Mwl. Julius K. Nyerere ama Jomo Kenyatta wakati wa harakati zao za mapambano ya kutafuta uhuru wa nchi zao hawakuwahi kutetewa na mawakili wa nje ya nchi zao dhidi ya mashtaka ya wakoloni..

Kinyume chake mimi naona unalalama juu ya mambo yaliyo nje kabisa ya anachoongea Tundu Lissu..

By the way, kama sheria zinaruhusu kuwa na wakili wa nchi yoyote kumtetea raia wa nchi fulani, hata Mimi ningetafuta wakili toka sayari nyingine...
 
Kwani kuna limit ya hilo jambo?
lengo la kuwa na mwanasheria ni nini?

Nadhani ni kuhakikisha haki zako zinapatikana sasa Lisu kakosea wapi ndugu
Mnataka awe na mwanasheria mtanzani ili mumdhibiti mnavyotaka nyie
Au mnatuambia angechukua hata nje ya nchi lakini Africa kwani nyie ni wabaguzi wa rangi?
au mweusi tu ndiyo anabaguliwa au tunaitaje hiyo
Toeni msimamo wa taifa kutojihusisha na wazungu kwa namna yoyote ile na serikali isimamie hilo ili tujue msimamo wa nchi yetu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Majibu ya kipuuzi kabisa,wakati wa ukoloni kulikuwa na mawaili wazawa? Lissu hana hoja za msingi.
Nadhani yeyote yuko huru kutafuta wakili popote duniani na kama Kuna limit mtuambie Sheria inasemaje

Mnapohoji kwanini Lisu kachukua wakili nje ni kama tu mnampangia cha kuwaza kwamba ungechukua huku na sio huko

Nimekumbuka kauli moja ya rais sijui ni kigamboni ile
Anasema na hao mawakili wanaowatetea wakamatwe wawekwe ndani
Sikumbuki ilikuwa sakata la madawa ya kulevya ama nini lakini rais anachukulia wakili kama ni muhalifu pia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wanataka achukue hawa wa Bongo kina Kibatala,Jebra na wengine ili wawavue uwakili.

Wakamvue uwakili Robert kama walivyomfanyia Fatuma.
Wafuasi wa CCM wanadhan kila mtu anaakili za kushikiwa-Umenena vyama kaka,Kijani wanajua vya kunyonga tu,vya kuchinja hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…