Uchaguzi 2020 Lissu: Mimi sio wa kwanza kuwa na wakili Muingereza

Hoja si nani kasoma sheria hoja nikutumia wakili wanje kwisha mengine simlia watoto
 
Wakati wa Nyerere nchi ya Tanzania ilikuwa na wasomi wangapi?
Na Nyerere au Kenya walishitakiwa na nani kama siyo hao mabeberu?
Kwa Sasa nchi ina wasomi wengi, ni ujinga na ni kejeri kwa wasomi wa Tanzania
 

Swali la msingi sana hili anatetewa kwa kesi ipi hasa? Lisu jiamini unakubalika na watanzania bila huyo madrid wako
 
Mwaka 2012 Uhuru Kenyatta, William Ruto na wenzao wakishatakiwa ICC. Pamoja na kwamba Kenya kuna mawakili nguli lakini waliwakilishwa na mawakili kutoka nchi za nje. Nakumbuka mmoja wa mawakili wa Uhuru alikuwa Steven Kay. Hivyo si ajabu Tundu Lissu kuwakilishwa na wakili kutoka nje.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Huyo hana akiri, nyerere alitumia hao kwa kuwa hatukuwa na mawakili wenye uwezo,
Sasa leo anamaanisha akina kibatara hawana uwezo?
Kwani Christopher alipoishtaki tz gvt ktk mahakama ya kule Durban South Africa kuhusu mgombea binafsi na akashinda unadhani tz hakukua na mawakili?

Kwa hiyo mnakandamiza haki za watu halafu mnataka muwatafutie njia ya kutafuta haki zao? Mbona Ndugai alikwenda kutibiwa India na akatumia billions kwani tz madaktari hawakuwepo? Je, hospital hazikuwepo?

Yaani jinsi mlivyombana Lissu hadi kutaka kumtoa uhai bado hamjaridhika? Mtu wa watu uhai wake kapona anatetea haki zake hamtaki mawakili wa nje mnataka mawakili wa TISS?

Lissu ni akili kubwa niyeye atakaetuongoza kuwaondoa wanyang'anyi wa ikulu warudi Burigi kuchunga Ng'ombe.
 
..pia kuna Andrew Chenge mwana ccm aliwahi kuwachukua mawakili wa nje wazungu kumtetea kwenye yale makesi yake ya ufisadi...
 
Wakati wa Nyerere nchi ya Tanzania ilikuwa na wasomi wangapi?
Na Nyerere au Kenya walishitakiwa na nani kama siyo hao mabeberu?
Kwa Sasa nchi ina wasomi wengi, ni ujinga na ni kejeri kwa wasomi wa Tanzania

..kama kwa kufanya hivyo amevunja sheria za nchi mnaweza kumshitaki mahakamani.
 
Tatizo leni njie mnatumia mabomu na kuvua uwakili, achana na kupambikka kesi tena zisizo na dhamana badala ya kujibu hoja kwa hoja.
Sielewi unachotaka KUANDIKA! Tafadhali andika vizuri kwa utulivu baada ya kusom na kuelewa nilichoandika ndugu.
 
Msaliti wa Nchi amekata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji
 
Nyerere alichangiwa na kanisa kuchukua mwanasheria...atueleze anapata wapi billion 20 kumlipa mwanasheria wa Canada nchi ambayo ndo walikamata ndege zetu na barick gold ilipo....

Amsterdam & Partners Eyes $4M Fee from Venezuela​

Fri., Mar. 27, 2020​

By Kevin McCauley

Amsterdam & Partners will receive a $4M flat fee to push for the removal of US sanctions on Venezuela. The US does not recognize the government of Venezuela.
A&P assumed the work of Foley & Lardner, which resigned the account last month after Florida Senator Rick Scott blasted it for representing the "brutal regime" of Nicolas Maduro.
F&L was in line for a $12.5M flat fee for devising a "narrative and strategy" to help Venezuela remove the sanctions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…